Simba SC yamtangaza Sven Vander Broeck kuwa kocha mpya akichukua mikoba ya Patrick Aussems

Sasa nyie Kandambili tangu lini mkasupport Simba? Hata tungemleta Zidane mngepinga
Kuipeleka Simba Mazikoni a.k.a Kaburini, sioni kocha hapo bora Matola tu atosha.
 
Angalia kabla hajawa mwekezaji Simba ilikuwaje na baada ya kuwa mwekezaji na kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ipo, yamkini jibu kuntu utalipata

Lengo la MO ni nini ?
 
Hivi kamati ya kuzuia wachezaji wasivunje mikataba tayari imeandaliwa?
Mo yupo kibiashara zaidi kaleta ka albino kengine. Nadhani lengo ni kuja kukafanya kawe kasemaji ka timu baada ya Manara kumaliza muda wake mana mikia wanapenda tusemaji twa dizaini hii.
 
Bado uchebe alikuwa hajachuja,sijapata sababu ya yy kutimuliwa.Nikifiriaga hili naonaga viongozi wangu wa Simba ni mamburula tu.
 
Anzisha timu yako umuajiri uchebe, nyie si mlimrushia mawe kule Mwanza?
Bado uchebe alikuwa hajachuja,sijapata sababu ya yy kutimuliwa.Nikifiriaga hili naonaga viongozi wangu wa Simba ni mamburula tu.
 
Ulitaka wamchukue Pep Guardiola? Wasi wasi wa nini?
Viongozi mnazingua sana uyo ndo ataweza kufanya cha maana kuiandaa team ifanye vzr kwenye club bingwa Africa kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…