Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,841
Timu ifike fainali Club Bingwa Africa,ana mawazo pacha na msema hovyo Manara.Lengo la MO ni nini ?
Ni kweli kabisaAlaa kumbe! Wewe unaangalia kufundisha timu nyingi, akina Zidane na Pep walifundisha wapi kabla hawajapata mafanikio Madrid, Barcelona..?
Kuna lugha ya football, kama ambavyo wauza matunda na mboga wanavyoweza kuwauzia wazungu bkdhaa zao kwenye soko la TX KinondoniKwanini wasielewane!!
Wakati hata mbeligiji anaongea kiingereza.
Matola kitambo alishaenda kujibrush kwa Ras Simba.
Weka akiba ya manenoAngalia kabla hajawa mwekezaji Simba ilikuwaje na baada ya kuwa mwekezaji na kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ipo, yamkini jibu kuntu utalipata
Mbona hata Klabu bingwa bara bado unaanza kuongelea Afrika? Ndio maana tumempa mkataba wa mwaka mmoja, tupate kwanza ubingwa wa bara.Viongozi mnazingua sana uyo ndo ataweza kufanya cha maana kuiandaa team ifanye vzr kwenye club bingwa Africa kwel
Toa pesa tupate kocha mwenye CV kubwa kama PepYale yale cv ya kawaida sana mpira wa bongo ni shida huyu kocha hatamaliza mwaka atafurumushwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzungu na mzungu pori. Asubiri siku akitupiwa virago ndiyo atajua Haji ni nani.
View attachment 1289521
Players do come and go, that's the order of the day. Do not live live in the past, the world is dynamic.We bado unaona viongozi wako wana maono? Hao ndo walimwacha Kotei wakaleta wabrazil, wakamwachia Okwi waleta Mzee Deo Kanda bongoman
Ndio maana wapo na Matola, na of course kocha msaidizi ndio anafanya kazi kubwa, donkey work.Kuipeleka Simba Mazikoni a.k.a Kaburini, sioni kocha hapo bora Matola tu atosha.
Alichuja sana tena kwa muda mfupi, tuliondolewa round ya kwanza Klabu bingwa Afrika.Bado uchebe alikuwa hajachuja,sijapata sababu ya yy kutimuliwa.Nikifiriaga hili naonaga viongozi wangu wa Simba ni mamburula tu.
Ngoja tusubr tuoneMbona hata Klabu bingwa bara bado unaanza kuongelea Afrika? Ndio maana tumempa mkataba wa mwaka mmoja, tupate kwanza ubingwa wa bara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kocha anacheza?View attachment 1289483 kocha anaonekana ni mbovu tu, kila game kipigo tu
Afadhali umenisaidia mkuu, unajua hata Patrick Aussems kuna walikuwa wakimpinga kwamba hana plan b kwahivyo kutaka kumrudhisha binadamu ni ngumu sana, hata angekuwa Guardiola wangehoji tu.Mbona hata Klabu bingwa bara bado unaanza kuongelea Afrika? Ndio maana tumempa mkataba wa mwaka mmoja, tupate kwanza ubingwa wa bara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wanafata maelekezo yako which means kama kocha ni mbovu hata wachezaja wawe wazuri vipi kipigo ni kama kawa wata pigwa tu