Simba Sc yaomba kuondolewa mechi ya Singida tarehe 8 ili ijiandae na mechi ya Al-Ahly ya tarehe 20/10

Simba Sc yaomba kuondolewa mechi ya Singida tarehe 8 ili ijiandae na mechi ya Al-Ahly ya tarehe 20/10

Inaniuma sana timu yangu simba haina u serious.... Itoshe tu kusema simba ni kikundi cha wahuni...
 
Hivi hata kilichoitokea Simba juzi dhidi ya Power Dynamos bado kuna watu wanajiita watu wa mpira hawajagundua kilitokanana nini? No wonder kuna watu wazima na akili zao wanahojiwa wanasema eti Yanga katia mkono (kaloga) uwanja wa Azam na Simba isiutumie tena ule uwanja eti kuna nguvu za giza zilifanyika pale Azam Complex. Kwa ufupi kitendo cha kufanya mazoezi muda mrefu bila kupata mechi ngumu za ushindani hasa huwa kinadumaza akili na kukakamaza miili ya wachezaji. Ndio maana wachezaji wa Simba walikuwa wazito wa mwili, miili kukosa unyumbulifu na kushindwa kufanya maamuzi ya haraka wakawa wanabaki wanakaba kwa macho na hata wakiwa na mpira mguuni hawajui wafanye nini kwa haraka.

Ni sawa tu na mwanafunzi asome tu muda mrefu bila kufanya majaribio madogmadogo magumu (test) halafu unakuja kumpa mtihani baada ya muda mrefu hapo lazima afeli vibaya mno. Sitaki kuamini kuwa kwenye bodi ya Simba hakuna anayefahamu hili. Suala la wachezaji kukamiwa au kuvunjwa ni suala la kufikirika zaidi na ni wajibu wa viongozi kuitahadharisha TFF, bodi ya waamuzi, waamuzi wenye wa mchezo husika na kamisaa wa mchezo husika kabla ya mchezo iwapo kuna tetesi hizo. Na hata kama zipo mbona Simba ina kikosi kipana tu kwanza itasaidia kumsanua kocha wao Robertino kuwa kuna vipaji vinaozea benchini badala ya kukaa na wasaidizi wake wamekariri tu wachezaji wale wale hata mechi ndogo.

Kitendo cha Simba kucheza mechi mbili na hata tatu ngumu kabla ya kukutana na Al Ahaly kina faida zaidi kwa Simba kuliko hasara kwani kinajenga utimamu wa mwili na akili kwa wachezaji. Hasa ikizingatiwa Simba alivyocheza vibaya mechi na Power Dynamos Hii ilipaswa iwe " wake up call " kwa uongozi na benchi la ufundi na sio kukimbilia kuomba mechi zao ziahirishwe bali wangeomba mechi nyingine moja ngumu ya ligi..
 
Sasa kinachokuwasha nini. Tukutane Group Stage. Hayo magoli mengi yamewasaidia nini?
Hakuna mfugaji bora kwenye Stage za awali. Tunaanzia kuhesabu wafungaji bora kuanzia group stage.

Nyie Yanga bado washamba wa Champion League. Kaeni kwa kutulia EBO

View attachment 2770375
Kwenye hizo timu 16 nitajie moja iliyo pita kwa chupu chupu kama nyie
 
Kwenye hizo timu 16 nitajie moja iliyo pita kwa chupu chupu kama nyie
Chupu chupu ndio nini mzee? Yanga miaka 25 imepita ndio mnaingia mwaka huu. Mtawezaje kuwafundisha Simba namna ya kuingia makundi ambao kila mwaka wanaingia?

USHAMBA UNAWASUMBUA.
 
Kwenye hizo timu 16 nitajie moja iliyo pita kwa chupu chupu kama nyie
1696337032319.png
 
khaa hii timu imejaa uswahili sana hakuna timu ilikua na ratiba ngumu kama Yanga last season ila sikuwahi kuwasikia wakibweka kuna gemu yanga wametoka ughaibuni wameenda moja kwa moja mwanza kucheza na Ihefu tarehe 20 ni mbali sana acheni ujinga kabisa
 
Yanga haipo Super League. Hapa wanaongea walio Super League
 
Haiwahusu. So waache kupiga kelele.
Kabla ya kuropoka jifunzeni kwanza kanuni zinazo endesha mpira hio mechi ni ya Singida wana haki ya kukataa au kukubali ombi sababu wapo ndani ya kanuni, sasa bwatuka tu hapo eti haiwahusu
 
wa
Kutoka tarehe 8 mpka 20 kuna siku 10 hapo kati kati! mbona mda unatosha sana kujiandaa baadae timu ikifungwa zina anza lawama za fitness
wanahitaji muda wa siku za kutosha kwenda kuroga. huwajui makolo?
 
Kabla ya kuropoka jifunzeni kwanza kanuni zinazo endesha mpira hio mechi ni ya Singida wana haki ya kukataa au kukubali ombi sababu wapo ndani ya kanuni, sasa bwatuka tu hapo eti haiwahusu
Kanuni ipi ya TFF, CAF au FIFA inasema hivyo.
UMBUMBUMBU NAO NI KIPAJI WEWE UPO na Kipaji hicho
 
Back
Top Bottom