Hata kama Simba waliwasilisha rufaa nje ya muda, je kuna uhalali wa Kagera Sugar kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano?
Ndio hapo sasaSimba aporwe points kwani ni zake? Tangu lini aliyebanduliwa 2-1 apate points 3 jamani?
hamkujitendea haqi wenyewe kwa kutoshindaHaya yalitegemewa,kwa TFF hii ya malinzi simba haiwezi kutendewa haki
Haya yalitegemewa,kwa TFF hii ya malinzi simba haiwezi kutendewa haki
Ukisoma vizuri alichosema mwesiga, utagundua uamuzi huu umetokana na technicalities sio merit, assuming kagera walimchezesha faki akiwa na card tatu za njano, adhabu yao ni nini? Halafu kuna kitu kinanishangaza, hivi hii ni mara ya kwanza timu kupewa ushindi wa mezani?Kwani game mlishinda mkanyang'anywa point mkuu? Anyways, j4 maandamano yanaanzia wapi tuje tuwape kampani wakuu
Haki gani we mkia?haki ya kufungwa 2-1 na kagera au?hapo kagera karudishiwa haki yake....acha ubepari?Kama vip simba tundikeni daluga. Hawawezi kutunyang'anya haki yetu hiv hiv chaaa.
Mkuu huu msimamo umeinclude haya maamuzi ya kuwanyang'anya mikia points 3?
Ndio mkuuMkuu hii ratiba imeinclude haya maamuzi ya kuwanyang'anya mikia points 3?
Soka la bongo hakuna kitu bora tutengeneze wakina simbu tu sasa