demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Hata kama Simba waliwasilisha rufaa nje ya muda, je kuna uhalali wa Kagera Sugar kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano?
Kwa hivyo unataka hizo alama 3 apewe simba sc?. Naona kunatakiwa kuwe na adhabu nyingine ambazo klabu na mchezaji wanatakiwa kutumikia lakini isiwe adhabu ya kuwapa alama 3 simba sc.