Simba SC yapokwa pointi 3 dhidi ya Kagera Sukari

Simba SC yapokwa pointi 3 dhidi ya Kagera Sukari

Hata kama Simba waliwasilisha rufaa nje ya muda, je kuna uhalali wa Kagera Sugar kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano?


Kwa hivyo unataka hizo alama 3 apewe simba sc?. Naona kunatakiwa kuwe na adhabu nyingine ambazo klabu na mchezaji wanatakiwa kutumikia lakini isiwe adhabu ya kuwapa alama 3 simba sc.
 
Bora mpira wa mbele maana bongo ni miyeyusho mara unasema hivi mara vile tuwaelewe vp
 
fbff1ba9d6ad1c172b414e1b1bf75090.jpg
 
Tff tupeni majibu ni kweli fack alikuwa na kadi tatu mbona mnaruka ruka tu hapo na je kwa nini mseme hawakulipa hela hiyo kamati ilikaa bure ?
 
Kwani game mlishinda mkanyang'anywa point mkuu? Anyways, j4 maandamano yanaanzia wapi tuje tuwape kampani wakuu
Ukisoma vizuri alichosema mwesiga, utagundua uamuzi huu umetokana na technicalities sio merit, assuming kagera walimchezesha faki akiwa na card tatu za njano, adhabu yao ni nini? Halafu kuna kitu kinanishangaza, hivi hii ni mara ya kwanza timu kupewa ushindi wa mezani?
 
Back
Top Bottom