Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo footballdatabase.com siku hizi ndio website ya CAF?kwa mujibu wa CAF simba sc ya Tanzania imekua ya 105 kwa ubora Africa
hii ni taarifa ya 5 December 2021
hongereni simba sc
View attachment 2038641
Bila shaka wewe utakuwa shabiki wa Utopolokwa mujibu wa CAF simba sc ya Tanzania imekua ya 105 kwa ubora Africa
hii ni taarifa ya 5 December 2021
hongereni simba sc
View attachment 2038641
kwa mujibu wa CAF simba sc ya Tanzania imekua ya 105 kwa ubora Africa
hii ni taarifa ya 5 December 2021
hongereni simba sc
View attachment 2038641
Kwa taarifa za CAF za mechi za mwisho zilizo chezwa December 5, Simba haipo ata katika timu 30 Bora Africa.
yaani unatafta habari wikipedia😀😀😀Hii ndio official ranking ya msimu wa 2021-22. Yani Yanga imepitwa mpaka na Namungo 😂😂😂
View attachment 2038654View attachment 2038656View attachment 2038657
Waach kusajili wazee itasaidia
Kwa taarifa za CAF za mechi za mwisho zilizo chezwa December 5, Simba haipo ata katika timu 30 Bora Africa.
Watakuwa wanashika mkiaNa Yanga ni ya ngapi?
Ndala waliosajili vijana wako nafasi ya ngapi vile,mkiambiwa uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo na mnabweka kama umbwa mnamfukuza kocha Luc