Simba SC yashika namba 105 kwa ubora Africa

Simba SC yashika namba 105 kwa ubora Africa

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
kwa mujibu wa CAF simba sc ya Tanzania imekua ya 105 kwa ubora Africa
hii ni taarifa ya 5 December 2021

hongereni simba sc.

IMG_20211209_202427.jpg
 
Unakatwa ww na majini, rudia kuandika udaku wako upya. Simba sio utopolo
 
Iyo itakua CAF ya Lipumba,official web ya CAF Simba ipo top 20 huko.
 
Back
Top Bottom