Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

It don't mean sh!t

Ni eidha wampe Yanga point 3 na Ubingwa ila msimamo wa Simba uendelew kuwa palepale.

Next match Simba akiwa mwenyeji anaweza kuja na payback ambayo nobody will see it coming na hizi sheria zikashindwa kuamua.
Sawa Mangungu 🚮🚮🚮
 
Kanuni ya 45 inasema timu mgeni itafanya mazoezi angalau mara 1 kwenye uwanja wa Mechi kabla ya siku ya Mechi. Haijasisitiza iwe siku 1 kabla ya Mechi Kwa hiyo Kanuni hiyo inatoa wajibu Kwa timu mgeni kusema atakwenda lini. Unayosema ni kama vile Simba ingeweza kujiamulia kwenda siku na Muda wowote inataka?
Hata hiyo siku anayoruhusiwa sio siku na muda wowote? Na kuamua kwenda, sio kujiamulia?
 
Kifungu kilichokwaza mpira wa leo, kwa binafsi yangu ni Kifungu kisicho na maana yoyote,
----""Baadhi ya Viwanja kama Benjamin Mkapa stadium, kisiruhusiwe kuwa home ground stadium ya timu yoyote!""

==========

KILABU YA SIMBA SPORTS CLUB - - - - - note confirmed - - - IMEFUNGIWA NA SHIRIKA LA MPIRA TANZANIA TFF BAADA KUGOMEA KUCHEZA NA YANGA NA KUDAI WAMENYIMWA KUFANYA MAZOEZI UWANJA WA MKAPA UONGOZI WA MKAPA STADIUM UMEKANUSHA MADAI HAYO NA KUSEMA CLUB IYO ILIFIKA UWANYANI WAKIWA WAMEAMBATANA NA WATU AMBAO SIO WACHEZAJI WALA WADAU WA CLUB IYO WAKIWA WAMEBEBA MBUZI NA MISHUMAA PAMOJA NA VIBUYU NDIPO UONGOZI WA MKAPA STADIUM ULIAMUA KUZUIYA VITU IVYO APO NDIPO TAARUKI ILITANDA UWANJANI APO NA BAADHI YA WADAU WAKALETA FUJO NA KUPELEKEA CLUB IYO KUCHUKUA UWAMUZI WA KUONDOKA UWANJANI BAADAE WAKATANGAZA KUTO SHIRIKI MCHEZO BAINA YAO NA YANGA TFF IMEFUNGIA SIMBA KWA KOSA LA KULETA FUJO PAMOJA NA KULETA USHIRIKINA UWANJANI.
 
Amani kwenu watumishi

Walianza kama mzaha mzaha wakaanza kuwa wanashingilia sare, wakatoka hapo wakaanza kushangilia kufungwa magoli machache

Leo hii ndo wamefikia kubaya zaid wanashingilia kukimbiza team na kususa na kutokuleta team uwanjani

Sio wengine bali ni ZUCHU SIENDI FC

LONDON BOY
 
Na kuna wengine waliambiwa walete timu uwanjani saa moja jioni wao wakafos mda wa awali wa saa 11 jioni kisa hawakupewa taarifa masaa 24 kabla...

Full Kukimbiana
 
Back
Top Bottom