Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Wamezuiwa na wenye uwanja sio yanga. Ndio maana meneja wa uwanja aliweka wazi kuwa hana taarifa rasmi za simba kwenda kufanya mazoezi. Kila kitu kina utaratibu wake. Pelekeni timu uwanjani acheni janja janja
Wenye uwanja na mabaunsa wa Yanga.
 
Anakatwa point kama hatofika uwanjani, kanuni hiyo ina adhabu yake ambayo ni faini. So usipoenda uwanjani unakatwa point 3 na magoli 3
2021 mlikatwa point ngapi kwenye scenario kama hii?

Kama kweli Simba atakatwa point na Yanga kupewa ushindi wa mezani basi ni wazi kutakuwa na double standard

By the way kwanini usitoe mkeka ukaweka correct score ya kumpa Yanga ushindi wa goli 3 kesho uamke ukiwa milionea?
 
Kanuni haisemi timu ngeni ikinyimwa kufanya mazoezi iginee

Kanuni haisemi timu ikizuiwa kufanya mazoezi igomee match husika,kanuni ipo wazi Yanga atapigwa faini ya hela au onyo Kali na aliegomea match atakatwa point 3 na magoli matatu.
Na kushushwa daraja, au hii wameiondoa?
Na zamani ilikua magoli ni mawili tu alama ndio 3
 
Sawa bahati nzuri kadri muda unazidi ndipo mambo mengi yanaanza kujionesha. Nimesikiliza mahojiano na mwenyekiti wa bodi ya ligi na mwandishi wa habari. Inasemekana Simba siku ya Alhamisi walifanya mazoezi katika huo uwanja wa Mkapa. Sheria inasema angalau mara moja kabla ya mechi, sasa kama ni kweli Simba walifanya mazoezi siku ya Alhamisi kulikuwa na haja gani ya kugomea mechi?View attachment 3263364View attachment 3263366
Neno "mara moja kabla ya mechi" halipo fixed na muda. Yani halifungamani na muda.

Mtu hata aliyefanya mazoezi wiki iliyopita naye anakuwa amefanya mara moja kabla ya mechi.
 
Kanuni ilikuwa upande wa yanga kwakuwa taarifa ilitoka nje ya muda unaoruhusiwa ndio maana yanga akufanywa chochote,,sasa tuambie ni kanuni Gani kwenye hili inakulinda!
Kanuni ilisema Yanga wasusie?

Kuna kanuni inayosema nje na utaratibu wa mabadiliko ya ratiba timu zinapaswa kususia mechi?
 
Mmezuiwa na mabausa ambao nao wako nje?😀😀
Nyie mmezuiliwa na mameneja wa uwanja mwenye miliki ya funguo .. ..by the way timu hamna ya kucheza na yanga mnatafuta pakutokea
 
Simba ni wanyonge sana.
Simba imekubali unyonge kingese tu.
Kwani Simba haina makomandoo?
Siku nyingine Simba ifuatane na makomandoo wake ili kwenye matukio kama haya ngumi zipigwe ili heshima ipatikane.
Wale mabaunsa waliotumika Mwanza CCM Kirumba dhidi ya Pamba walienda wapi?
 
Simba hawezi kukatwa pointi kwenye tatizo ambalo ametengenezewa.

Anakatwa point akiwa yeye ndio amevunja kanuni. Hawezi kuwajibika kwenye makosa yaliyofanywa na mtu mwingine.

And for the records Simba wapo vizuri kwenye sheria na wanajitahidi sana kuheshimu taratibu za kimpira.

Sitaki kuamini kama wamekuwa wazembe wasione hili uliloliona wewe.
IMG-20250308-WA0092.jpg
 
Wamezuiwa na wenye uwanja sio yanga. Ndio maana meneja wa uwanja aliweka wazi kuwa hana taarifa rasmi za simba kwenda kufanya mazoezi. Kila kitu kina utaratibu wake. Pelekeni timu uwanjani acheni janja janja
Meneja wa uwanja wa mpira asiyejua kanuni za mpira! Mwenye uwanja ni nani anamaanisha serikali kama ndivyo lini serikali ikatumia mabaunsa ktk ulinzi?
 
Back
Top Bottom