Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Taarifa ya nini wakati sheria inaruhusu timu ya ugenini ifanye mazoezi angalau mara mbili muda wa mechi itaochezwa kabla ya siku ya mechi?

Weka hiyo sheria inayotaka timu inatakiwa itoe taarifa kwa meneja
Hiyo mbili umeitolea wapi?
JamiiForums-936136243.jpg
 
Hii kesi ni ndogo tu,tunahitaji barua au barua pepe ya kuthibitisha kuwa Simba ametoa taarifa ya kwenda kufanya mazoezi,wasijizonge na kuleta siasa katika mpira.

Mechi ipo
Hili Jambo uliloandika kama anapelekwa na ushabiki huwezi kuliona lakini chanzo cha tatizo Kiko hapo na watu hawasemi Kwa makusudi na kuhimizana kutopeleka timu uwanjani.
 
Wabongo huamini katika fadhila na sio kusimamia haki zao..

Sheria imetaka hivi, halafu wewe unasema taarifa. Taarifa kwenye kufuata taratibu?

Yaani palepale getini wangetakiwa wafunguliwe waingie na si vinginevyo... Mnafeli wapi wanadamu?
Kanuni ya 45 inasema timu mgeni itafanya mazoezi angalau mara 1 kwenye uwanja wa Mechi kabla ya siku ya Mechi. Haijasisitiza iwe siku 1 kabla ya Mechi Kwa hiyo Kanuni hiyo inatoa wajibu Kwa timu mgeni kusema atakwenda lini. Unayosema ni kama vile Simba ingeweza kujiamulia kwenda siku na Muda wowote inataka?
 
Kuku na Mbuzi pamoja na wale Wazee usiku wanafuata nini uwanjani? Kanuni gani inayoruhusu hilo kufanyika? Onyesha kifungu
Onyesha kuku mbuzi na hao wazee ili nikuonyeshe kifungu
 
Wasifike uwanjani Leo ili tuone kama Kanuni inasema usipofanya mazoezi siku ya mwisho Mechi itaahirishwa.
Kuna utofauti wa kauli hapo

"Usipofanya mazoezi siku ya mwisho" ni tofauti sana na "kuzuiwa kufanya mazoezi ya mwisho"

Unaweza usifanye mazoezi ya mwisho kwa utashi wako kwasababu wewe hujaamua.

Kweli kwenye hili ni personal issue and there's no way opponent team can be responsible.

Sisi tupo kwenye kuzuiwa.
 
unadhani wataelewa na ramadhani hii + Kwaresma, jua linawaka
 
Baadae nini kikatokea?
Simba ilifika uwanjani Yanga hawakutokea.

Zikasubiriwa dakika 30 still no signs za Yanga kuonekana. Mechi ikahairishwa.

Simba haikupewa alama za mezani badala yake bodi ya ligi ikapanga tarehe nyingine ya mechi kuchezwa.

So mi nawaangalia tu jinsi watoto wanavyo furahia kupata point 3 za mseleleko.
 
Usiwe mbishi nenda kasome kanuni za ligi zinasemaje kukataliwa kufanya mazoezi ya mwisho sio kigezo cha timu kugombea mechi Kuna kanuni zinaelekeza adhabu zipi zitatolewa but sio timu kugomea mechi ilo ni jambo jingine kabisa
Kwani lini kuliwahi kuwa na sheria inayoruhusu timu kususia mechi pindi tu bodi ya ligi itapotangaza mabadiliko ya ratiba ya mechi husika?

Au hujui kuwa march 8, 2021 Yanga waligomea mechi?

Simba walipewa point za mezani?
 
Back
Top Bottom