GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
TFF na Kamati zenu huko msione Aibu kuweka hadharani Maamuzi ya mwisho na Simba SC ambayo wameyatoa baada ya nyie kwenda Kuwaomba kwa Kuwabembeleza kuwa Wacheze Mechi ya Leo pamoja na kuwatumia Viongozi Waandamizi (wenye Usimba) wawashawishi.
GENTAMYCINE nina taarifa za uhakika kuwa Simba SC wametoa Masharti Makuu mawili na kuwataka muyatekeleze
1. Watu wote waliohusika na Upuuzi uliotokea pamoja, Klabu ya Yanga na baadhi ya Viongozi wao Waadhibiwe upesi
2. Mechi ichezwe ama Kesho (Jumapili) au Jumatano ijayo au Weekend ijayo kwa Sharti la kuruhusu Simba SC ifanye Mazoezi Siku moja kabla ya Mchezo
Nimemaliza.
Safi sana Simba SC. Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE a.k.a Kiboko ya Wapumbavu na Wanafiki wote duniani Ok?