Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Neno "mara moja kabla ya mechi" halipo fixed na muda. Yani halifungamani na muda.

Mtu hata aliyefanya mazoezi wiki iliyopita naye anakuwa amefanya mara moja kabla ya mechi.
Swala ni kwamba umefanya angalau mara moja kabla ya siku ya mechi.
 
Meneja wa uwanja wa mpira asiyejua kanuni za mpira! Mwenye uwanja ni nani anamaanisha serikali kama ndivyo lini serikali ikatumia mabaunsa ktk ulinzi?
Kwahiyo unataka kuniambia kuna baunsa wa kuzuia bus la simba? Maana hata geti halikufunguliwa
 
Haki itendeke.

Source ya haya yote ni imani za kishirikina kitu ambacho ni upuuzi kabisa. Ushirikina ulioshindwa kuwapa kombe la CAF hadi leo bado mnauendekeza hadi leo.

Sijui hili jambo limekaae kisheria ila kama Yanga wanamakosa waadhibiwe iwe fundisho kwa hawa makomandoo uchwara.

Mwisho wa siku nawalaumu TFF wao ndio wanaolea upuuzi wa hizi timu mbili matokeo yake ndio haya sasa.
Kosa ni kutoleta timu uwanjani
 
Kanuni haisemi timu ngeni ikinyimwa kufanya mazoezi iginee

Kanuni haisemi timu ikizuiwa kufanya mazoezi igomee match husika,kanuni ipo wazi Yanga atapigwa faini ya hela au onyo Kali na aliegomea match atakatwa point 3 na magoli matatu.
Masome tena hiyo kanuni kuna neno ikiwa sababu ya kugomea mchezo hazitakubaliwa na kamati ya uendeshaji. Hii ina maana kumbe zipo sababu zinazowe
Kwahiyo unataka kuniambia kuna baunsa wa kuzuia bus la simba? Maana hata geti halikufunguliwa
kanuni ilikuwa inawaruhusu simba kufanya mazoezi ktk muda unaoendana na muda wa mechi, je kamishna wa mechi au msimamizi wa uwanja hakujua hilo?
 
Kanuni ya 45 inasema timu mgeni itafanya mazoezi angalau mara 1 kwenye uwanja wa Mechi kabla ya siku ya Mechi. Haijasisitiza iwe siku 1 kabla ya Mechi Kwa hiyo Kanuni hiyo inatoa wajibu Kwa timu mgeni kusema atakwenda lini. Unayosema ni kama vile Simba ingeweza kujiamulia kwenda siku na Muda wowote inataka?
Hizi kanuni na taratibu zilianza jana?Round ya kwanza hazikuwepo wakati nyie mlipokuwa wenyeji.
JamiiForums-777753140.jpg
 
Kanuni ya 45 inasema timu mgeni itafanya mazoezi angalau mara 1 kwenye uwanja wa Mechi kabla ya siku ya Mechi. Haijasisitiza iwe siku 1 kabla ya Mechi Kwa hiyo Kanuni hiyo inatoa wajibu Kwa timu mgeni kusema atakwenda lini. Unayosema ni kama vile Simba ingeweza kujiamulia kwenda siku na Muda wowote inataka?
Sawa tukubaliane na maelezo haya sasa ni lini simba ilifanya mazoezi kati uwanja huu kuelekea mchezo huu wa leo.
 
Kwa kuwa ulinyamaza wewe na mwingine anyamaze kudai haki yake! Na je kama haukudai tff wangejuaje kuwa kuna tatizo?
Lakini wewe si ndiye uliye mfanyia mwenzako? Kwa hiyo mkifanya nyie sawa wakifanya wengine wamekiuka kanuni?

Maana mnailaumu Yanga wakati kwenye barua, mnadai Meneja hamkumpa taarifa, huku mnawalaumu watu mnao wahisi ni makomando wa Yanga,utazani hao mnao wahisi wanafunguo.
 
Kama ulifanyiwa na ilikuwa haki yako kwenda kudai na haukwenda haimzuii aliyekufanyia kuacha kudai haki yake pale unapomfanyia wewe!
 
Tetesi: Za ndani kabisa mechi itakuwa kesho leo jioni simba kufanya mazoezi lupaso.
 
Hawa tunawafanyia ubaya ubwela hawataamini. Tutaingia uwanjani dk 10 kabla ya mchezo, tutalipa faini ya kuchelewa lakini tutakipiga bila mashabiki na hao vyura tutawatwanga vizuri tu. Tuone nani ataathirika zaidi kwa huu upuuzi uliotokea.
 
Mechi ni leo hakuna habari ya kesho, kisu kiko tayari kuchinja mnyama aliwe supu
 
Masome tena hiyo kanuni kuna neno ikiwa sababu ya kugomea mchezo hazitakubaliwa na kamati ya uendeshaji. Hii ina maana kumbe zipo sababu zinazowe

kanuni ilikuwa inawaruhusu simba kufanya mazoezi ktk muda unaoendana na muda wa mechi, je kamishna wa mechi au msimamizi wa uwanja hakujua hilo?
Kujua ni jambo moja na kuwa na taarifa ni jambo jingine. Siku zote tumezoea timu zinatokea makambini na pale wanawasili siku ya game. Simba sio wageni kwa uwanja wa mkapa
 
Kujua ni jambo moja na kuwa na taarifa ni jambo jingine. Siku zote tumezoea timu zinatokea makambini na pale wanawasili siku ya game. Simba sio wageni kwa uwanja wa mkapa
Hapa simba wanasimamia kanuni inayoendesha ligi na siyo mazoea kama kweli walikuwa hawajapata siku hata moja ya mazoezi ktk uwanja huo kwa mchezo husika wana hoja nzito.
 
Katika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na kuzuiliwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa na Wanaojiita Makomandoo wa Yanga

Nini maoni yako?

soma zaidiView attachment 3263095

Pia soma:
TFF ndio wanaoharibu mpira wa NBC Premier League kwa kuingiza siasa ndani ya mpira. Kitendo cha TFF kutoza faini ndogo za laki 5 hadi milioni 10 ndicho kinachozipa jeuri timu kukiuka kanuni za mpira. Yanga wanafahamu kuwa hata kama watapigwa faini, haizidi Tsh milion 10 ambayo haiwaumizi kiuchumi. Ikiwa faini itaongezwa kufika walau Tsh milioni 100, huu use.nge uliofanywa na Yanga na unaofanywa na timu nyingine utakoma mara moja.
 
Kwa kuhofia kipigo cha mbwa koko kutoka Yanga viongozi wa Simba kwa makusudi kabisa hawakuzingatia kanuni inayoitaka timu ngeni kuwasiliana na Kamishna wa mchezo na meneja wa uwanja kuhusu kufanya mazoezi katika uwanja wa Mkapa. Badala yake usiku wakaisomba timu yao kupeleka uwanjani na bahati nzuri wakakuta uwanja umefungwa kuzuia vibaka na watu wenye nia ovu kuhujumu miundombinu ya uwanja!

Kwa jazba na mapovu mengi viongozi wa Simba wakaandika barua kwa Bodi ya ligi kususia mchezo ambao ulipangwa kufanyika leo usiku!

Hata hivyo Yanga wamesema mchezo upo pale pale kama ulivyopangwa na kuwataka mashabiki wa mpira kuhudhuria kwa wingi uwanjani na kwamba timu itafika saa 11 jioni.

Kitendo cha Simba kususia mchezo kumesababisha hasara kwa maelfu wa wanamichezo waliosafiri kutoka mikoani kuja kuangalia mtanange huo. Hasara hiyo pia imewakumba mamia ya mama na baba lishe walioandaa futari kwa ajili ya mashabiki!
 
Back
Top Bottom