OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kanuni ya ligi ibara ya 17(45) ndivyo hivyo inavyosema kuwa mpewe point 3 na magoli 3 ?Hii ndio maana halisi ya Ubaya Ubwela, Yanga hatucheki na kima.
Wamechukua uamuzi sahihiKatika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na kuzuiliwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa na Wanaojiita Makomandoo wa Yanga
Nini maoni yako?
soma zaidiView attachment 3263095
Pia soma:Tetesi: - Simba kugomea mechi kwakuwa hawakuruhisiwa kufanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Mkapa
Taarifa nilizonazo kutoka Kwa viongozi waandamizi wa club ya Simba ni kuwa katika kikao kilichofanyika usiku huu wamedhamiria kususia mechi Nilipomhoji kuhusu kanuni Kwa timu isiyofika uwanjani ni kukatwa points 3 na magoli 3 pamoja na kushushwa daraja, amejibu kuwa wako tayari Kwa lolote na...www.jamiiforums.com
Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...www.jamiiforums.com
Ukiamka mapema unakuwa wa kwanza kuvipata😀TZ ukiwahi lala mapema unakosa taarifa ya vitu vingii hahaaaaa
Bora lawama kuliko kutembezewa kichpo cha mbwa koko.Asee Mimi ni mwanasimba kindakindaki but kilichofanywa na timu hizi mbili uchwara za nchi hii ni aibu na ukatili mkubwa Kwa mashabiki wa timu hizi duniani kote.
Mpira wetu umejaa unafiki, chuki, fitna rushwa na gubu.
Kwenu Simba , mmeshindwa hata kujali mashabiki wenu waliotoka kote mikoani na Afrika, waliolipa Hela nyingi kucheki mchezo huu?
Kirahisi tu mnatangaza hatutaingia uwanjani!
Uliuons au unaropoja tuu? Kamisaa si alikuwepo hakuona yote hayo? Unaongea kitu bila kuwa na uhakika nachoKwa nini simba alitaka aingie na mbuzi na bundi mzoga uwanjani?
Simba ni wanyonge sana.
Hata mimi nashangaa watoto mjini wa wa Msimbazi hawana wahuni wa kudili na hizi mbuzi za mikoani ...Simba ni wanyonge sana.
Simba imekubali unyonge kingese tu.
Kwani Simba haina makomandoo?
Siku nyingine Simba ifuatane na makomandoo wake ili kwenye matukio kama haya ngumi zipigwe ili heshima ipatikane.
Wasifike uwanjani Leo ili tuone kama Kanuni inasema usipofanya mazoezi siku ya mwisho Mechi itaahirishwa.lSimba hawezi kukatwa pointi kwenye tatizo ambalo ametengenezewa.
Anakatwa point akiwa yeye ndio amevunja kanuni. Hawezi kuwajibika kwenye makosa yaliyofanywa na mtu mwingine.
And by records Simba wapo vizuri kwenye sheria na wanajitahidi sana kuheshimu taratibu za kimpira.
Sitaki kuamini kama wamekuwa wazembe wasione hili uliloliona wewe.
Kanuni Mzee, kama kweli mliwazuia imekula kwenu.SIMBA ACHENI UPUMBAVU.
hyo sio sababu ya kuacha kuingia uwanjani.
Kama kweli waliwazuia kufanya mazoezi imekula kwao.Wamechukua uamuzi sahihi