Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Katika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na kuzuiliwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa na Wanaojiita Makomandoo wa Yanga

Nini maoni yako?

soma zaidiView attachment 3263095

Pia soma:
Wamechukua uamuzi sahihi
 
Asee Mimi ni mwanasimba kindakindaki but kilichofanywa na timu hizi mbili uchwara za nchi hii ni aibu na ukatili mkubwa Kwa mashabiki wa timu hizi duniani kote.
Mpira wetu umejaa unafiki, chuki, fitna rushwa na gubu.
Kwenu Simba , mmeshindwa hata kujali mashabiki wenu waliotoka kote mikoani na Afrika, waliolipa Hela nyingi kucheki mchezo huu?
Kirahisi tu mnatangaza hatutaingia uwanjani!
 
Bora lawama kuliko kutembezewa kichpo cha mbwa koko.
 
Simba ni wanyonge sana.
Simba imekubali unyonge kingese tu.
Kwani Simba haina makomandoo?
Siku nyingine Simba ifuatane na makomandoo wake ili kwenye matukio kama haya ngumi zipigwe ili heshima ipatikane.
Hata mimi nashangaa watoto mjini wa wa Msimbazi hawana wahuni wa kudili na hizi mbuzi za mikoani ...
Makomandoo wa utopolo wa zamani walikuwa wanajulikana wao kwa wao kucharaza viboko viongozi wao
Hawa wa kupigana na timu pinzani ni waporipori wakuja....
 
lSimba hawezi kukatwa pointi kwenye tatizo ambalo ametengenezewa.

Anakatwa point akiwa yeye ndio amevunja kanuni. Hawezi kuwajibika kwenye makosa yaliyofanywa na mtu mwingine.

And by records Simba wapo vizuri kwenye sheria na wanajitahidi sana kuheshimu taratibu za kimpira.

Sitaki kuamini kama wamekuwa wazembe wasione hili uliloliona wewe.
Wasifike uwanjani Leo ili tuone kama Kanuni inasema usipofanya mazoezi siku ya mwisho Mechi itaahirishwa.
 
Vile vibabu kwenye Bus la B hata miye nisingewaruhusu kuingia uwanjani ujue.
 
SIMBA ACHENI UPUMBAVU.
hyo sio sababu ya kuacha kuingia uwanjani.
 
Kama kweli Yanga waliwazuia Simba kufanya mazoezi basi Simba wakigomea watapewa points 3 na magoli 3 kama kamishna wa mchezo alifika na kuthibitisha.
 
Back
Top Bottom