Kwanini unakimbilia Simba kuadhiniwa..Kanuni zimekiukwa na mwenyeji wa mchezoKwa wanaojua kanuni endapo Simba isipocheza huo mchezo itaadhibiwaje? Faini, kukatwa point, kushushwa daraja
Na vipi kuhusu Yanga nao?
Wajinga aina yako ndio mtaji mkubwa wa ccm.Hii ndio maana halisi ya Ubaya Ubwela, Yanga hatucheki na kima.
Washamba nyie mliezui uwanjaNdugu zetu watani mmeanza mchezo wa kuweka mpira kwapani tena?
Mambo ya kishamba sana haya, this is 2025 jamani!
Uliweza kupiga picha ya hao wazee wakiwa ndani ya basi ..utuwekee hapa tuone tudhibitishe hii taarifa yakoSasa simba wanaenda uwanjani saa tatu usiku na vizee vimejaa basi zima. Ni ushirikina tuu serekali inatakiwa iingilie kati hawa simba na yanga wamezidi uchawi.
Mkuu, mtaji mkubwa wa chama tawala ni watu wenye akili hafifu, akili ndogo, uwezo Mdogo sana kiakili wa kutofikiri kama huyo.Simba hawezi kukatwa pointi kwenye tatizo ambalo ametengenezewa.
Anakatwa point akiwa yeye ndio amevunja kanuni. Hawezi kuwajibika kwenye makosa yaliyofanywa na mtu mwingine.
And by records Simba wapo vizuri kwenye sheria na wanajitahidi sana kuheshimu taratibu za kimpira.
Sitaki kuamini kama wamekuwa wazembe wasione hili uliloliona wewe.
Hahahaaa. Umewaza kama mie Mkuu hawa majamaa walijua na leo wanachezea nyingi. 🤣🤣🤣Jamaa wamechungulia weee wakaona kushinda tena haiwezekani, wakaamua kutuma bouncers wao. sisi Tupo zetu bunju tunakula daku nyie nendeni mkapige ramli tena
Mtani nakusalimia bana.Kanuni ya ligi ibara ya 17(45) ndivyo hivyo inavyosema kuwa mpewe point 3 na magoli 3 ?
Hukumsikia kiongozi mmoja mkubwa anayeshuhulikia uchumi wa nchi hii ambapo nilitegemea mtu wa aina yake angekua Yuko bize sana katika kufanya kazi yake ya uchumi wa nchi na WA mwananchi mmoja mmoja, yeye anahoji eti timu kupewa penalty tatu tena kwenye uwanja wenye jina la Waziri mkuu nchiniMeneja wa uwanja ni nani?
Hana boss wake?
Je anapaswa kuambiwa na nani kwamba kikanuni Simba alitakiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja kabla ya mechi na muda mechi itakapochezwa?
Baada ya kukataa,hakuna aliyechukua hatua za kumtaarifu?au boss wake naye hajui mpira?
Hao makomandoo wa yanga,wana nguvu kuliko polisi?Kana watu wanaleta vurugu,kwa nini wasikamatwe na kuwekwa ndani?
Hii yanga mnaiendekeza sana,na hawa watu wa siasa wanaolazimisha club iwe ya serikali wanaonyesha upuuzi wa hali ya juu.Wana timu za majeshi lakini hawazipi upendeleo kama huu wanaoipa yanga.
Yanga ni kama vile vikundi vya mazombi kule Zanzibar wakipiga wapinzani halafu serikali nayo inachekelea tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
HIlo lilifanyika mwaka 2021 Yanga walipogoma kucheza?.Kanuni haisemi timu ngeni ikinyimwa kufanya mazoezi iginee
Kanuni haisemi timu ikizuiwa kufanya mazoezi igomee match husika,kanuni ipo wazi Yanga atapigwa faini ya hela au onyo Kali na aliegomea match atakatwa point 3 na magoli matatu.
Ramadhan Kareem.Mtani nakusalimia bana.
Naona hamjataka uteja tena. 🤣🤣🤣
Allahu Akram.Ramadhan Kareem.
Hahahaaa. Sa itawezekanaje tena wakati mshasusa Mtani. 🤣🤣Kipondo dhidi yenu kipo pale pale🤣.
Ni Club iliyojiwekea taratibu na inafuata misingi ya sheria.Inajulikana Yanga ni wahuni, lakini mamlaka zimeruhusu uhuni uwe wa kiwango hiki? Inakatisha tamaa sana.
Kama watakubali kucheza watakuwa wapuuzi
Hata wanaolala nje wanawahi kurudi saa 10 wapo home wanamwagilia mauaTZ ukiwahi lala mapema unakosa taarifa ya vitu vingii hahaaaaa
Mechi bado ipo, tunataka tafasiri ya kanuni lakini tutafuata maelekezo ya TFF na Bodi ya ligi.Allahu Akram.
Hahahaaa. Sa itawezekanaje tena wakati mshasusa Mtani. 🤣🤣
Ooh. Kama ni hivyo hamna shida Mtani. 🤝Mechi bado ipo, tunataka tafasiri ya kanuni lakini tutafuata maelekezo ya TFF na Bodi ya ligi.
Kwahiyo kichapo hakiepukiki😂😂