Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

Muda wa mazoezi ukoje kulingana na ratiba za matumizi wa uwanja kumbe hata saa 3 usiku unaweza fanya mazoez
 
Soka la Tanzania ni kama CCM na Chadema!
Yaani ni vurugu tupu!
Sahihi kabisa. Nimeshalisema sana hili, ukiwa na uwezo wa kufikiri utagundua mengi yanayofanyika kwenye football yetu yapo pia kwenye siasa zetu.

Wakati mwingine football inatumika kutest mambo yanayoenda kufanyika kwenye siasa maana wanatafiti fikra ya mtanzania na reaction zao zinavyoweza kuwa.
 
Watu wamelala wakiamka watakutana na hii

Inanikumbusha Mei 8 mwaka 2021 Yanga alisusia mechi tena kwa sababu ambazo ilikuwa ni mabadiliko ya ratiba ya mechi.

Let's see kitachoenda kufanyika.
Mabadiliko ya ratiba ya mechi yanapaswa kufanyika saa 72 kabla ya mechi,we saa nne asubuhi kisa timu yenu imepiga ramli na kuona itafungwa,mnabadili ratiba bila sababu za msingi
 
Simba hawezi kukatwa pointi kwenye tatizo ambalo ametengenezewa.

Anakatwa point akiwa yeye ndio amevunja kanuni. Hawezi kuwajibika kwenye makosa yaliyofanywa na mtu mwingine.

And by records Simba wapo vizuri kwenye sheria na wanajitahidi sana kuheshimu taratibu za kimpira.

Sitaki kuamini kama wamekuwa wazembe wasione hili uliloliona wewe.
Una matatizo ya kijinsia wewe
 
Katika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na kuzuiliwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa na Wanaojiita Makomandoo wa Yanga

Nini maoni yako?

soma zaidiView attachment 3263095

Pia soma:
TFF wanasemaje? hii barua yaweza kuwa fake!
 
Hivi mechi iliyopita ta Simba na Azam taifa, Azam walienda Fanya mazoezi hapo siku Moja kabla? Au kanuni zilivunjwa?

Naomba picha za Azam mwenye nazo!
 
Kwa wanaojua kanuni endapo Simba isipocheza huo mchezo itaadhibiwaje? Faini, kukatwa point, kushushwa daraja

Na vipi kuhusu Yanga nao?
Yanga sio wamiliki wa uwanja wanaingiaje hapo? Walinzi wa uwanja hawakua na taarifa za ujio wa simba jana. Ulitaka wawaruhusu bila taratibu?
 
Simba hawezi kukatwa pointi kwenye tatizo ambalo ametengenezewa.

Anakatwa point akiwa yeye ndio amevunja kanuni. Hawezi kuwajibika kwenye makosa yaliyofanywa na mtu mwingine.

And by records Simba wapo vizuri kwenye sheria na wanajitahidi sana kuheshimu taratibu za kimpira.

Sitaki kuamini kama wamekuwa wazembe wasione hili uliloliona wewe.
Asipoingiza Timu akatwe tu
 
Mna kazi kubwa sana na ya kipambuvu mnaoshaabikia kabumbu.
Hata kwenye soccer kule upuuzi flaniflani upo lkn wa kwenye kabumbu umezidi,ni wa kipuuzi sana.

Sasa mtu ni mpangaji,lkn eti ana nguvu kuliko mwenye nyumba!

Yaani AC Milan amzuie Inter Milan kufanyia mazoezi pale San Sirro kweli?
 
Makolo bana ,mnasusa kitu cha kijinga kama icho.
Sasa mmempa muda Aziz Ki kuwa fiti apo mtakapo sogezewa mechi.
Zile 5 zitawafata kokote muendako .
 
Unaelewa ulichoandika? Umeona barua hapo imeanisha kanuni na taratibu ipi imekiukwa?
Ulishawahi hudhuria kesi yoyote?

Huwez toa adhab kwa mshtaki ,wakati huja resolve kesi aliyo present
Twende taratibu tu. Nioneshe kwenye hiyo barua inaponeesha kama timu itazuiwa kufanya mazoezi ya mwisho basi igomee kucheza mchezo?
 
Hii kesi ni ndogo tu,tunahitaji barua au barua pepe ya kuthibitisha kuwa Simba ametoa taarifa ya kwenda kufanya mazoezi,wasijizonge na kuleta siasa katika mpira.

Mechi ipo
 
Back
Top Bottom