Simba SC yatangaza kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nelson Okwa raia wa Nigeria

Atarogwa na Mkude hadi mtamchukia. Kama Fraga na Lwanga wote wamepotezwa na huyu Dogo Mluguru itakuwa huyo ( huyu ) Okwa wenu? Mkisikia tu Mkude anaomba Udhuru kwenda Kwao Morogoro jueni Agban na Okwa wanaenda Kupigwa 'Miba' ya maana Kudadadeki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu okwaa huko kwao ni uchawi umetagia, hataweza.

Labdaa Akpan ndo sawa. Ila siamini sana kuhusu Ulozi.
 
Atarogwa na Mkude hadi mtamchukia. Kama Fraga na Lwanga wote wamepotezwa na huyu Dogo Mluguru itakuwa huyo ( huyu ) Okwa wenu? Mkisikia tu Mkude anaomba Udhuru kwenda Kwao Morogoro jueni Agban na Okwa wanaenda Kupigwa 'Miba' ya maana Kudadadeki.
Okwa pia ana Wazee wake kutoka Nigeria waliobobea kuhusu mambo hayo, kwahivyo wacha tuone mchezo yaani.
 
Atarogwa na Mkude hadi mtamchukia. Kama Fraga na Lwanga wote wamepotezwa na huyu Dogo Mluguru itakuwa huyo ( huyu ) Okwa wenu? Mkisikia tu Mkude anaomba Udhuru kwenda Kwao Morogoro jueni Agban na Okwa wanaenda Kupigwa 'Miba' ya maana Kudadadeki.
Eti Miba... [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu okwaa huko kwao ni uchawi umetagia, hataweza. Labdaa Akpan ndo sawa. Ila siamini sana kuhusu Ulozi.

Akpan naye ni mnaijeria hakuna afadhali hapo
 
πŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…