NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
Acha hisia kwani msimu uliopita Mkude mbona amekaa sana BenchiAtarogwa na Mkude hadi mtamchukia. Kama Fraga na Lwanga wote wamepotezwa na huyu Dogo Mluguru...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hisia kwani msimu uliopita Mkude mbona amekaa sana BenchiAtarogwa na Mkude hadi mtamchukia. Kama Fraga na Lwanga wote wamepotezwa na huyu Dogo Mluguru...
Safari hii mkude ndo atarogwaAtarogwa na Mkude hadi mtamchukia. Kama Fraga na Lwanga wote wamepotezwa na .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu okwaa huko kwao ni uchawi umetagia, hataweza.Atarogwa na Mkude hadi mtamchukia. Kama Fraga na Lwanga wote wamepotezwa na huyu Dogo Mluguru itakuwa huyo ( huyu ) Okwa wenu? Mkisikia tu Mkude anaomba Udhuru kwenda Kwao Morogoro jueni Agban na Okwa wanaenda Kupigwa 'Miba' ya maana Kudadadeki.
naona mmekuwa wapole 🤣🤣Aki na Ukwa
Okwa pia ana Wazee wake kutoka Nigeria waliobobea kuhusu mambo hayo, kwahivyo wacha tuone mchezo yaani.Atarogwa na Mkude hadi mtamchukia. Kama Fraga na Lwanga wote wamepotezwa na huyu Dogo Mluguru itakuwa huyo ( huyu ) Okwa wenu? Mkisikia tu Mkude anaomba Udhuru kwenda Kwao Morogoro jueni Agban na Okwa wanaenda Kupigwa 'Miba' ya maana Kudadadeki.
Eti Miba... [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Atarogwa na Mkude hadi mtamchukia. Kama Fraga na Lwanga wote wamepotezwa na huyu Dogo Mluguru itakuwa huyo ( huyu ) Okwa wenu? Mkisikia tu Mkude anaomba Udhuru kwenda Kwao Morogoro jueni Agban na Okwa wanaenda Kupigwa 'Miba' ya maana Kudadadeki.
Maoni yangu outarra na akpan wacheze kiungoHapo sawa. Lazima kuwepo kiungo mkabaji anayeweza shughuli kama Vieira au makelele.
Namuombea mema msimu huu asipate majeraha, asiwekwe benchi
Ili ashindwe kuepuka lawama
Kuliko mnavyomjua FEISAL???
Hao wote ni wanaijeria kwao uchawi ni kama maji...hutaamini...Atarogwa na Mkude hadi mtamchukia. Kama Fraga na Lwanga wote wamepotezwa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu okwaa huko kwao ni uchawi umetagia, hataweza. Labdaa Akpan ndo sawa. Ila siamini sana kuhusu Ulozi.
Naweza Kukuamini kwakuwa kama ni Uchawi Wanaijeria ndiyo Walimu na Watanzania ni Wanafunzi.Safari hii mkude ndo atarogwa