Simba SC yatangaza kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nelson Okwa raia wa Nigeria

Simba SC yatangaza kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nelson Okwa raia wa Nigeria

Waganga wa Kipa wako Aishi Manula na Mshambuliaji wako Mzawa John Boko ni Jirani yangu mkubwa mno na najua ni nini Meddie Kagere kafanyiwa mpaka Kiwango chake Kikaisha mazima.

Hawa ni wa Simba SC yangu ila hakuna Wachezaji ambao sasa Wanarogana kama wa Yanga SC na kuna Beki wao Mmoja Mzawa sasa yuko kwa Mtaalam Zanzibar anamtengeneza ( anamroga ) Beki tegemeo wa Kigeni.

Hakuna Mchezaji wa Simba SC ambaye namjua ndani nje kama Mdogo wangu wa Kinondoni Biafra huku Maskani yake Kubwa ikiwa ni Kijiwe cha Unga Unga Kawe na katika Kaunta ya Juu ya Massae Pub Kawe kama Jonas Gerald Mkude.

Sina shaka juu ya Kipaji chake Kikubwa alichonacho na hakuna Mchezaji wa Simba SC GENTAMYCINE ninampenda na nimepambana mno Kumtetea dhidi ya Maadui zake ( ndani na nje ya Simba SC ) kama Jonas Gerald Mkude, ila Mluguru huyu kwa 'Miba' hana mfano.

Mpira wa Tanzania una 'Miba' mno tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa lol
 
Mambo ya kuwinda msitu wa Congo tumeshahama sisi Simba Sc[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wale wazee wa kupambana na M23 endeleeni kukopeshwa huko akina ndombolo ya nyoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

UNStoppable everywhere [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weuweeeeeeeeeh!!!!!!
 
Mambo ya kuwinda msitu wa Congo tumeshahama sisi Simba Sc🤣🤣🤣

Wale wazee wa kupambana na M23 endeleeni kukopeshwa huko akina ndombolo ya nyoka🤣🤣🤣

UNStoppable everywhere 🤣🤣🤣
Hii ndio ndombolo ya solo.
 

Attachments

  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    FB_IMG_1685865513846.jpg
    84.1 KB · Views: 4
Back
Top Bottom