Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

Mechi ya Azam na yanga ilisogezwa mbele mara ngapi?.
HAO walichungulia mechi
Jina lako linaendana na pumba unazozitoa,angalia tarehe hapo utajua Yanga ilifahamishwa siku ngapi kabla ya match kama kanuni zinavyosema

 
Kwa hyo mlivyogoma mmepata faida gani?.
Masaa mawili hayawezi kukuathiri chochote kama ulikuwa UMEJIANDAA
Faida kubwa sana na ndio maana tumenyamaza mmebaki mikia na tff mnatoa maarticle yasiyo na kichwa wala miguu

 
Sometimes huwa unaandika point,huwa nakuchukulia kama kijana asiyejua chochote na aliyejaa good for nothing issues

Hongera kwa hili mkuu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Sasa kama huwa nakosea kwanini huwa hunikosoi? unaniogopa? hujiamini, simply umeniona mzuri leo coz nimeandika kilichokupendeza, but am always good in everything.
 
Kweli hii taarifa imesndikwa na mtu mwenye akili kweli? Nani kavunja sheria hivi wewe tamko likitoka hata kama linapingana na sheria za Fifa unatekeleza kweli kwa hili nawapongeza Yanga kwa kusimamia sheria hivi simba kwanini wasimwonye Manara kuandika barua za mihemuko hivi tuseme yeye ndio Simba halisi kushinda akina Kilomoni
 
Hawa utopolo walifanya makusudi kuwahujumu Simba wakijua kabisa hapati hata senti ya mechi
 
Mkuu kutowapa Simba points zao kwa kweli ni kuwaonea Bigwa huyu wa Afrika Mtarajiwa.
 
Mpira ni burudani jamani kwanini watu walumbane namna hii??

Tarehe ipangwe tena watu wakipige.

Na ole wake mtu akimbie tena.

Ila Sasa mashabiki nao waangaliwe, watunze tiketi zao kwa ajili ya next match.
 
Nadhani waliosogeza mbele, ilibidi watangulie na kutoa sababu ya kufanya hivyo. Sio kutoa tu order as if wanadeal na watoto.
Sababu si walieleza ni agizo toka serikali!?
Mmekomalia sheria kuvunjwa lakini hamdai fidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…