Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Kweli wangeweza, ila Yanga ni timu kubwa halafu tuna uadui na TFF. Sasa nyinyi fanyeni mnalotaka.Hawa ndo watu wa yanga wenye AKILI.
sio nyie mliohaidiwa UBINGWA NA GSM.
LAKINI KUCHEZA MPIRA WANAKIMBIA.
SASA HUO UBINGWA MTAUPATA VIPI?View attachment 1779483