Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

Hiyo kesi yako ikipelekwa FIFA ,Yanga anapewa point tatu,pili TFF (ikiwezekana na Simba mnakula faini) na tatu nchi inafungiwa kushiriki mashindano yote.

Huku kwenu mpira wetu unapelekwa pelekwa ndio maana ujinga ujinga mwingi,ila FIFA wakipelekewa hili ni hatari sana kwa TFF kwani waiofanya ni ujinga.
 
Usiwapambe sana Yanga hata wao wamefanya hivyo sababu wana visasi vyao na TFF, wameona hii mechi ndio ya kulipiza kisasi, mbona mechi za biashara na azam muda ulibadilishwa na wakacheza.
Ulishawahi kuchunguza muda wa mchezo ulibadilishwa siku ngapi kabla?
 
Hapana kosa NI la YANGA.
Kwanini walete ujeuri?.
Daaah! Viongozi wa nchi mechi inatangazwa siku zote wanasikia kwanini hawakuomba ibadilishwe mapema, viongozi wachache wametia hasara watu wengi
 
Hapana kosa NI la YANGA.
Kwanini walete ujeuri?.
Daaah! Viongozi wa nchi mechi inatangazwa siku zote wanasikia kwanini hawakuomba ibadilishwe mapema, viongozi wachache wametia hasara watu wengi
 
Wewe UNA AKILI?
1620628425128.png
 
Back
Top Bottom