kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Hii simba ikichekewa italeta u Magufuli kwenye mpira simba inaviongozi wa hovyo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii simba ikichekewa italeta u Magufuli kwenye mpira simba inaviongozi wa hovyo sana
Umehamia kwenye andiko tena. Mwakalebela anasemaje kuhusu kesi ya Morrison!?Mkuu lile Andiko La Simba Hata Mwanafunzi Wa Mwaka Wa Kwanza Jordan University Hawezi Kuandika Vile, Liko Shallow Sana na Hakuna Hata Legal Citation Yyote Kusapoti wanachotaka Simba
Kanuni ipi imevunjwa na TFFTukisema tofauti ya Simba na matikiti maji ni rangi tu baadhi ya watu hukasirika. Yaani wamesikia tu (hearsay) kuwa Yanga walipewa taarifa na hawajajiuliza au kutafuta ukweli wa taarifa hiyo. Ila wala hawataka kujiuliza kama Kanuni zimekiukwa au la. Hii Mwamedi FC ni ujinga mtupu.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwani inahitaji kuwa msemaji wa simba kughamua hilo?Samahani mkuu, wewe ni msemaji wa Tiefuefu ama ? 🤣
maana naona kama uongozi wa Simba umewaandikia Tiefuefu mkuu.
Walipeleka timu uwanjani kama TFF ilivyoagiza.Sasa kanuni inasemaje km walipeleka timu uwanjani km mamlaka ilivyoagiza,na mpinzani hakutokea.Simba Kama wanatii maagizo na maelekezo ya TFF iweje tena wapinge maelekezo ya kuahirishwa mechi mpaka itakapopangiwa tarehe nyingine? Simba waache uoga na kutaka pointi za mezani ili kukwepa kipigo!
Leo ndio nimeamini kuwa na pesa (utajiri) hakuna uhusiano kabisa na uwezo wa akirii/kufikiri (I.Q) ndani ya ubongo wako. Hili ndio tatizo la kukabidhi timu "wajinga wajinga" kumiliki vilabu....Nina imani 100% Bodi ya Simba makini yakina Magori wasingeandika upuuzi huu wa kigabacholi..
Mechi ya Azam taarifa ilitolewa kabla ya siku tatu kabla ya mchezo, tusifananishe matukio yasiyoendanaUsiwapambe sana Yanga hata wao wamefanya hivyo sababu wana visasi vyao na TFF, wameona hii mechi ndio ya kulipiza kisasi, mbona mechi za biashara na azam muda ulibadilishwa na wakacheza.
Yanga ilifanya nini mwaka 2008 Kagame Cup mechi dhidi ya Simba? Kuna precedent kwenye tukio la janaMkuu you really need to come to your sense. Yanga anamkimbiaje Simba? Hiyo game haitachezwa tena?! Au Yanga kahairisha game ili apate muda wa kuwaleta kina Messi na Mbappe wawafunge Simba?! Unakimbiaje mechi ambayo iwe iweje lazima ichezwe?
Japo mimi ni Simba SC ila kwa hili tamko lao lililokosa support ya kanuni au sheria kupinga kile walichosema Yanga SC jana kuhusu kanuni ya ligi No. 15 (10) wamekosea.
Nawaona Simba wametoa sababu nyepesi sana, unless kama hiyo kanuni waliyoitoa Yanga iwe na exception kwamba inaweza badilika kulingana na mazingira fulani yatayojitokeza ndio Simba waitumie hiyo exception but not otherwise.
Kwa sababu nakemea usnichi.Hata hii post yako imekaa ki snitch
Huyu babra should be fired
Kwahiyo kulikuwa na sababu za kiusalama ili hali mashabiki walikuwa uwanjani
Soma hili
FIFA always respects the sovereignty of the countries concerned and their local laws. But that does not mean that our principles should be violated, either inside or outside the football family. These principles have proved their worth and common sense throughout FIFA's 100-year history. They are essential to the development of football in an environment of dialogue and cooperation among all the parties concerned