Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

Mkuu lile Andiko La Simba Hata Mwanafunzi Wa Mwaka Wa Kwanza Jordan University Hawezi Kuandika Vile, Liko Shallow Sana na Hakuna Hata Legal Citation Yyote Kusapoti wanachotaka Simba
Umehamia kwenye andiko tena. Mwakalebela anasemaje kuhusu kesi ya Morrison!?
 
Tukisema tofauti ya Simba na matikiti maji ni rangi tu baadhi ya watu hukasirika. Yaani wamesikia tu (hearsay) kuwa Yanga walipewa taarifa na hawajajiuliza au kutafuta ukweli wa taarifa hiyo. Ila wala hawataka kujiuliza kama Kanuni zimekiukwa au la. Hii Mwamedi FC ni ujinga mtupu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Tukisema tofauti ya Simba na matikiti maji ni rangi tu baadhi ya watu hukasirika. Yaani wamesikia tu (hearsay) kuwa Yanga walipewa taarifa na hawajajiuliza au kutafuta ukweli wa taarifa hiyo. Ila wala hawataka kujiuliza kama Kanuni zimekiukwa au la. Hii Mwamedi FC ni ujinga mtupu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kanuni ipi imevunjwa na TFF
 
Samahani mkuu, wewe ni msemaji wa Tiefuefu ama ? 🤣
maana naona kama uongozi wa Simba umewaandikia Tiefuefu mkuu.
Kwani inahitaji kuwa msemaji wa simba kughamua hilo?
 
Japokuwa hata mimi ni simba, ila nawasifu sana yanga kwa kuwa na msimamo dhabiti, tatizo simba na hasa Manara wamekuwa wakitawaliwa sana na elephants za ki CCM. Kilichomfanya Manara kukubali kwa haraka ni u CCM wake ndio maana aliwafananisha wachezaji wetu wapendwa akina CHAMA, CHIKWENDE na MIQSONE na CCM
 
Simba Kama wanatii maagizo na maelekezo ya TFF iweje tena wapinge maelekezo ya kuahirishwa mechi mpaka itakapopangiwa tarehe nyingine? Simba waache uoga na kutaka pointi za mezani ili kukwepa kipigo!
Walipeleka timu uwanjani kama TFF ilivyoagiza.Sasa kanuni inasemaje km walipeleka timu uwanjani km mamlaka ilivyoagiza,na mpinzani hakutokea.

Km mpinzani hakutokea sheria inampa Simba pointi tatu na si kuahirisha mechi.Elewa Yanga waligomea maagizo ya Tff na tff wakaweka msimamo kuwa mechi ni saa moja na simba wakaenda uwanjani saa moja yanga hawakutokea.pointi tatu ni za simba kikanuni.

Na simba wana barua ya tff inayowaagiza kucheza mechi saa moja na walifika uwanjani.

Simba anadai haki yake kwani alifuata maagizo yote ya mamlaka ya mpira nchini na ya mechi husika apewe haki yake.

Pili Yanga anadai haki yake,kwa tff kuvunja kanuni na yeye yanga kufuata kanuni.

Unawalaumu simba kwa lipi? Kwa kudai pointi zao tatu za halali?

Simba ina uongozi wake na inaamua kwa weledi,mazingira yalivyo,Simba haipo kuangalia Utopolo wanaamua nini.
 
Leo ndio nimeamini kuwa na pesa (utajiri) hakuna uhusiano kabisa na uwezo wa akirii/kufikiri (I.Q) ndani ya ubongo wako. Hili ndio tatizo la kukabidhi timu "wajinga wajinga" kumiliki vilabu....Nina imani 100% Bodi ya Simba makini yakina Magori wasingeandika upuuzi huu wa kigabacholi..
 
Usiwapambe sana Yanga hata wao wamefanya hivyo sababu wana visasi vyao na TFF, wameona hii mechi ndio ya kulipiza kisasi, mbona mechi za biashara na azam muda ulibadilishwa na wakacheza.
Mechi ya Azam taarifa ilitolewa kabla ya siku tatu kabla ya mchezo, tusifananishe matukio yasiyoendana

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kinachosubiriwa kwa hamu ni sababu ya kuahirisha mechi, wizara nao watoe taarifa.
Hata hivyo Yanga hawatapewa adhabu yoyote labda ingekuwa timu nyingine
 
Mkuu you really need to come to your sense. Yanga anamkimbiaje Simba? Hiyo game haitachezwa tena?! Au Yanga kahairisha game ili apate muda wa kuwaleta kina Messi na Mbappe wawafunge Simba?! Unakimbiaje mechi ambayo iwe iweje lazima ichezwe?
Yanga ilifanya nini mwaka 2008 Kagame Cup mechi dhidi ya Simba? Kuna precedent kwenye tukio la jana
 
Hii barua waliyotoa Simba sijui wameshirikisha wangapi, maana sidhani kama hata nusu ya Washabiki wa Simba wataiunga mkono mimi nikiwa mmoja wao.

Hii barua imekaa kisnichi tu na ya kichochezi zaidi ya uanamichezo.

Hivi Yanga wakishushwa daraja Simba tutanufaika na nini? Sioni mantiki yoyote kiukweli.
 
Japo mimi ni Simba SC ila kwa hili tamko lao lililokosa support ya kanuni au sheria kupinga kile walichosema Yanga SC jana kuhusu kanuni ya ligi No. 15 (10) wamekosea.

Nawaona Simba wametoa sababu nyepesi sana, unless kama hiyo kanuni waliyoitoa Yanga iwe na exception kwamba inaweza badilika kulingana na mazingira fulani yatayojitokeza ndio Simba waitumie hiyo exception but not otherwise.
JamiiForums-1816148589.jpg
 
Kwahiyo kulikuwa na sababu za kiusalama ili hali mashabiki walikuwa uwanjani

Soma hili
FIFA always respects the sovereignty of the countries concerned and their local laws. But that does not mean that our principles should be violated, either inside or outside the football family. These principles have proved their worth and common sense throughout FIFA's 100-year history. They are essential to the development of football in an environment of dialogue and cooperation among all the parties concerned

Mbona hawa hawa FIFA walipelekeshwa na Serikali ya Marekanj na waliufyata
 
Back
Top Bottom