Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

Mkuu kumbuka Simba ni club ,ina uongozi wake na haiendeshwi na mihemuko ya klabu nyingine yoyote Ile ....
wacha kila mtu afanye kulingana na falsafa zake na wanachoona wao ni sahihi.
kumbuka Simba hawakugomea suala la mabadiliko ya muda ,sasa unataka hayo maswali yako wakaulize ili iwaje? Wao walileta team uwanjan na hakukuwa na mechi so Wana haki kudai pointi zao tatu mkuu....
Yanga ndo muulize hayo ....na viongozi wenu.
Timu ilikaguliwa wakiwa uwanjani? Kama hawakukaguliwa pointi mtazisikia redioni?
 
ukiambiwa na serikali usicheze muda huu kotokana na sababu za kiintelijensia ni lazima utii.
Kwahiyo kulikuwa na sababu za kiusalama ili hali mashabiki walikuwa uwanjani

Soma hili
FIFA always respects the sovereignty of the countries concerned and their local laws. But that does not mean that our principles should be violated, either inside or outside the football family. These principles have proved their worth and common sense throughout FIFA's 100-year history. They are essential to the development of football in an environment of dialogue and cooperation among all the parties concerned
 
Hizo sababu za kiintelejensia unaleta wewe hazikuwepo wakati muda wa mechi unasogezwa acha upuuzi
Sasa we utaona serikali na yanga Nani ana nguvu?
 
Timu ilikaguliwa wakiwa uwanjani? Kama hawakukaguliwa pointi mtazisikia redioni?
Samahani mkuu, wewe ni msemaji wa Tiefuefu ama ? 🤣
maana naona kama uongozi wa Simba umewaandikia Tiefuefu mkuu.
 
Yanga waoga sana wametukimbia wanaume[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huwezi kugoma pekeyako bwashee, lazima umshawishi na mwenzako sasa utopolo waligomaje peke yao, hii ilikua dharau kwa ssc.
 
Mmetuabisha viongozi wetu narudi tena mmetuabisha mnadhani kwamba mnawakomoa Yanga? Acheni u snitch nchi nzima inataka kujua nani alietoa amri saa saba mchana mechi ihaiirishwe hadi saa moja wakati pre match meeting imefanyika saa nne?

Au toka atekwe Mo Dewji wote mnatetemeka tu? Yanga wamesimama kiume tunataka kujua TFF walipokea maagizo kwa nani na kwa nini?
Kumbe nawe kuuuma. Visasi vya Yanga tuvihusishe na nchi. KILAZA WEWE
 
Kwa nini simba wanawatuhumu Yanga SC ? Wao si wako sawa wafuate kanuni
 
Mmetuabisha viongozi wetu narudi tena mmetuabisha mnadhani kwamba mnawakomoa Yanga? Acheni u snitch nchi nzima inataka kujua nani alietoa amri saa saba mchana mechi ihaiirishwe hadi saa moja wakati pre match meeting imefanyika saa nne?

Au toka atekwe Mo Dewji wote mnatetemeka tu? Yanga wamesimama kiume tunataka kujua TFF walipokea maagizo kwa nani na kwa nini?
Pumbavu sana wewe.Kwahiyo mpaka sasa hivi hujui nani aliyesogeza muda mechi kutoka saa 11 kwenda saa 1.

Pili hapa unawauliza Simba kwani wao ni TFF?

Tatu,kumbe unajua TFF ndio walisogeza muda kwanini usiwaulize badala yake unakuja kujamba humu kuwalaumu simba.

Uto km uto huwa hamnaga akili.
UTOPOLO maana yake ni kitu kilicholegea,mfano mlenda.

Mna bahati jana mngekufa nyingi mlenda nyie.mna bahati mlisusa mkatimua mbio.
 
Inamaana simba hawajui kama kanuni imevunjwa hapo?.
Usilazmishe Simba afanye jinsi wewe unataka au kuiga Yanga.Simba ina uongozi wake na wiliridhia kucheza saa moja.Kwani wakati Utopolo wanafanya maamuzi ya kugomea mabadiliko walifanya kikao cha pamoja na yanga.Uchwara sana wewe.

Rudia kusoma jina lako,soma kwa sauti.
 
Japo mimi ni Simba SC ila kwa hili tamko lao lililokosa support ya kanuni au sheria kupinga kile walichosema Yanga SC jana kuhusu kanuni ya ligi No. 15 (10) wamekosea.

Nawaona Simba wametoa sababu nyepesi sana, unless kama hiyo kanuni waliyoitoa Yanga iwe na exception kwamba inaweza badilika kulingana na mazingira fulani yatayojitokeza ndio Simba waitumie hiyo exception but not otherwise.
Hawa wanajaribu kucheza na akili za TFF, wanajua ni wazi Yanga watadai ushindi kutokana na Simba kutokutokea uwanjani. Mpira hauwezi kuongozwa kama genge la kangara, kanuni zipo na zifuatwe.
 
Nimesoma taarifa ya Club yangu pendwa ya Simba kuhusiana na tukio la kijinga kabisa kuwahi kutokea lililofanywa na viongozi wa Taasisi zinazosimamia soka letu hapa nchini 08.08.2021 .Nimejifanza haya yafuatayo kutoka kwenye andiko hilo:

1. Hili andiko halikutolewa na Bodi ya Club ya Simba bali n watu wawili watatu wamekaa wakaandika huu upuuzi.
2. Kuna haja ya FCC kuendelea kuchelewesha mchakato mzima wa kuikabidhi hii Club kwa watu fulani kwani tayari tumeenza kuona upande wa pili wa sura zao mapema kabla hatujawakabidhi timu. Hawachelewei keshokutwa kuibadilisha Club ikawa ni ya Criketi
3. Mwenyekiti wa Bodi anawadharau saana tena kupita kiasi watendaji wake kiasi cha kuamua kufanya jambo lolote bila kujali nini kitatokea..
 
Yanga washushwe daraja tu na kuamriwa warudishe hasara ya viingilio vyetu Kwa uhuni walioufanya jana.
Masuala ya kanuni wangekata rufaa na sio kugomea muda wa mchezo.
Rage alijitahidi sana ila wapi hakumwelewa.
 
Kijana anayesifika kwa kuuangalia na kuuchunguza utupu wa Harmonize upo!? [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Mkuu lile Andiko La Simba Hata Mwanafunzi Wa Mwaka Wa Kwanza Jordan University Hawezi Kuandika Vile, Liko Shallow Sana na Hakuna Hata Legal Citation Yyote Kusapoti wanachotaka Simba
 
Hivi kweli Mo kauona huo utumbo kabla hawajatoa kwenye social media?

Kuna miandiko ya Haji na Barbara. Ni aibu kubwa kwa timu inayojinasibu kuwa na weledi.

Sijashangaa wana Simba wengi kufadhaishwa na utumbo huo.
 
Back
Top Bottom