Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

Huwezi kugoma pekeyako bwashee, lazima umshawishi na mwenzako sasa utopolo waligomaje peke yao, hii ilikua dharau kwa ssc.
Simba hawajielewi kile kidemu utakiambia mambo ya mpira kinajulia wapi?
 
Wewe ndio snitch na hakuna mashabiki,wanachama au wapenzi wa aina yako.
USITOFOKEE.
 
Usiwapambe sana Yanga hata wao wamefanya hivyo sababu wana visasi vyao na TFF, wameona hii mechi ndio ya kulipiza kisasi, mbona mechi za biashara na azam muda ulibadilishwa na wakacheza.
We ndo hujielewi kwel.Yaani mtu akibakwa asishitaki siku nyingne akibakwa akashitaki utajitea kwamba kwann hakushitaki mara ya kwanza?😂😂😂😂
 
Msemaji wa nchi kwani anasemaje? Manake ule mwandiko ni wake. Gazeti lefu lisilo na maana.
 
Back
Top Bottom