Simba Sports Club achaneni na nia yenu ya kumfukuza kocha wetu Patrick Aussems kwani tutakuja kujuta na kulia akiondoka

Kiufupi viongozi waliosajiri wachezaji wa style mmoja ni wapumbavu kweli wachezaji hawachezi direct football wanazunguka na mpira nyuzi 360 ,Ajib,chama,kahata,shiboub wote wanamchezo unafanana tu ,wabrazil ni bure kabisa ,ninaimisi simba ya mwaka Jana ilihitaji beki tu na replacement ya boko kufika fainali au nusu club bingwa Africa ,simba ya Leo bila miraji Athuman inayumba ,kweli simba tumefika huku?wao wamtimue kocha sisi hatutakwenda uwanjani wapumbavu sana
Kocha aende zake, kimbinu anazidiwa na makocha wengi tu wa kitanzania. Kocha gani unafungwa nje ndani na timu kama Kagera Sugar, ina maana mechi ya kwanza hukujifunza.

Unacheza na Prison haijafungwa hata mechi moja, unashindwa kujua kwanini hawafungwi, mimi nafanyaje ili niwafunge.

Huyo kocha wenu is tactically inept, huwezi kumlinganisha na Leschante.

Hiyo timu mnayoidharau mkimpa kocha makini m'bongo tu itapiga mpira mkubwa sana. Huwa nasema hata akipewa dogo Matola Simba itakuwa moto tu maana anaujua mpira na ana mbinu za mpira.

Kuna wachezaji vijana wadogo kama akina Mlipili wanasugua benchi week in week out, unashindwa kuwapa mechi wakaanza kuwareplace akina Wawa na Nyoni.

Unafanya rotation ila top class goalkeeper Kakolanya anasugua benchi kila mechi, una mpango gani na keeper hodari kama Kakolanya ambae alicheza na Simba yote na hawakumfunga.

Get that coach out of Simba, as a matter of urgency!!
 
Unachomaanisha simba hajamfunga kagera mpaka sasa,au prison hawezi kufungwa na simba ,mchezo mpira wa miguu ni mchezo wa wote unavyojiandaa na team nyingine inajiandaa,hakuna team itafanya maandalizi kidogo kukabiliana na simba ndio maana team ikicheza na simba ikashinda au droo ,kocha wake atawapongeza wachezaji wake na kukiri hadharani kapata matokeo kwa team bora kabisa Tanzania kwa sasa
 
Hatuwezi kuacha kumfukuza kocha kwa maslahi binafsi ya watu (self interest)bali tutafanya hivo kwa maslahi mapana ya timu nzima.
 
Unachomaanisha simba hajamfunga kagera mpaka sasa,au prison hawezi kufungwa na simba ,mchezo mpira wa miguu ni mchezo wa wote unavyojiandaa na team nyingine inajiandaa,hakuna team itafanya maandalizi kidogo kukabiliana na simba ndio maana team ikicheza na simba ikashinda au droo ,kocha wake atawapongeza wachezaji wake na kukiri hadharani kapata matokeo kwa team bora kabisa Tanzania kwa sasa
Aussems huwa ana approach game bila kujua mpinzani wake anachezaje, mechi na UD Songo ni mfano mmojawapo.

Huwezi kucheza kwa mbinu moja kila game na wakati wote wa mchezo.

Imagine alikuwa anamfanya sub Miraji, tukamwambia mchezaji anayefunga kila mechi unamfanya vipi kuwa sub na wakati huo huo una striker mmoja tu?

Nadhani mechi iliyopita kikosi alipanga msaidizi wake, maana yeye hakuwepo kwa muda ndipo Miraji alipoanza na akafunga magoli mawili.
 
Mechi na ud songo uongozi wenyewe wamekubali hawakuipa uzito mechi
 
Kosa la Brazillians ni lipi elezea kimpira

Karibia Wabrazil wote ni ' Mapopoma ' Watupu. Hivi kuna Mbrazil anayejua Mpira kweli anaweza kuja Kucheza Mpira tena wa huku ' Uswekeni ' kabisa Tanzania na hapo hapo anaanzia Mkeka / Benchi? Hebu acha Kujitoa Ufahamu wako katika hili tafadhali sawa? Mimi pamoja nimeshaacha Kucheza Mpira japo mara moja moja naucheza huu wa ' Kiveterani ' lakini nikijifua vilivyo hakuna Mbrazil atakayenifikia kwa Kiwango changu Uwanjani.
 
Yani wakimtimua kocha, basi nami naacha ushabiki wa mpira wa Tz. Upuuzi mtupu

Kumbe tusiotaka ' Ujinga ' tupo wengi. Safi sana Mkuu. Mimi nasubiri tu Kusikia wakitangaza hivyo ili niachane rasmi na Simba SC na Soka la Tanzania.
 
Mechi na ud songo uongozi wenyewe wamekubali hawakuipa uzito mechi
Simba walizidiwa mbinu za uwanjani, tactical know how, sio issue ya viongozi. Kipindi cha kwanza Simba walibanwa hawakuweza kuvuka hata mstari wa katikati na kocha hakuwa anajua kwanini.

Wenzao walijua kuwa Simba wana striker mmoja hivyo hawana madhara kabisa wakaanza kwa kushambulia na sio kujilinda.

Hapo ndipo Simba walipochanganyikiwa na kusababisha defensive errors mpaka tukafungwa.

Alipoingia dogo Miraji ndo tukapata penalt na kusawazisha.

Let us be honest, Simba tuli mess up tulipowaondoa Leschante na Masoud Jouma, wale mabwana ni tactical masters.

Vijana walikuwa na viwango vizuri na vinavyopanda kila siku, angalia kwa mfano Ahsante Kwasi, alikuwa ni full back anayefunga magoli, alipokuja Aussems ikawa ndio mwisho wa mpira wake; Aussems ana pool ya wachezaji wazuri sana ila hajui jinsi ya kuwatumia.

Angeweza kuwa na timu hata mbili na zote zinacheza ligi kuu lakini hamna kitu.
 
Karibia Wabrazil wote ni ' Mapopoma ' Watupu. Hivi kuna Mbrazil anayejua Mpira kweli anaweza kuja Kucheza Mpira tena wa huku ' Uswekeni ' kabisa Tanzania na hapo hapo anaanzia Mkeka / Benchi? Hebu acha Kujitoa Ufahamu wako katika hili tafadhali sawa? Mimi pamoja nimeshaacha Kucheza Mpira japo mara moja moja naucheza huu wa ' Kiveterani ' lakini nikijifua vilivyo hakuna Mbrazil atakayenifikia kwa Kiwango changu Uwanjani.
Hata uingereza na Marekani kwenye elimu nzuri bado kuna watu wanafanya kazi za kufagia barabara hata kama ni kwa kutumia magari maalum, sishangai kuona Mbrazil anakuja kucheza mpira bongo, huo ndio uwezo wake.

Fraga ni bonge la midfielder mkabaji, tacling na passing accuracy yake ni above Kotei by any standard of measure.

Tunapenda kuona midfielder anayepiga chenga kwanza kabla ya kufanya mengine, not Fraga.

Waulize wachezaji wa timu pinzani waliocheza nae ndo utajua.
 
Fraga is nothing kwa Kotei usilete ushabiki mandazi.

Umewahi Kucheza Mpira? Wapi, Ligi gani na wa Kiwango gani cha Mashindano kinachotambuliwa na TFF au BMT? Nasubiri majibu yako ili nijue una Hadhi ya Kubishana / Kujibizana na Mimi au hapana na unanipotezea tu muda wangu hapa Jamvini. Katika hao Wabrazil wako hakuna hata Mmoja mwenye Hadhi ya Kuichezea Simba SC yetu kwani hapa hapa Tanzania au Ukanda wetu huu wa Afrika Mashariki au ukienda Afrika Magharibi au Afrika Kusini utaweza kupata Wachezaji wenye Uwezo ' Maradufu ' na walio nao hao. Naijua Simba SC, nimekuwa sehemu ya Kamati za Roho Mbaya na Ujanja Ujanja wa Kimjini Mjini na Kifitina na kwa Kukusaidia tu ni kwamba hao Wachezaji wote wa Kibrazil kuna Watu Wawili ( ambao ni Wajumbe ) na wapo sana karibu na Mmoja wa Kiongozi Mkuu ndiyo wamewaleta kwa Kupiga ' Dili ' ili kama kawaida yao wapate 10% yao. Mmoja wapo ni yule aliyekuwa katika Kesi moja na hawa waliochiwa kwa Dhamana ambaye Kikabila ni Mhehe japo pia ana upande mwingine wa kuwa ni Mjerumani.
 
Mimi wameniboa kuwaacha Niyonzima na Okwi. Timu limeparaganyika! Ndio maana tulitolewa.
 
Mi nafikiri tatizo ni labda ni mshahara, maana uwanjani kocha yupo vizuri, labda kama timu ulikua kwa mbinu za nje ya uwanja wakati kocha anavuta mpunga mrefuu
 
Analipwa Tsh Milioni 23 kwa Mwezi ( kama sijakosea na naruhusu kurekebishwa katika hili ) ila kwa Uwezo wake mkubwa sidhani kama kuna Kosa Yeye Kulipwa Kiasi hicho cha Pesa.
 
Hofu yangu labda club inapunguza gharama za uendeshaji, sababu hata kombe lenyewe lina thamani ya ndogo sana kiongozi
 
Umewahi Kucheza Mpira? Wapi, Ligi gani na wa Kiwango gani cha Mashindano kinachotambuliwa na TFF au BMT? Nasubiri majibu yako ili nijue una Hadhi ya Kubishana / Kujibizana na Mimi au hapana na unanipotezea tu muda wangu hapa Jamvini. Katika hao Wabrazil wako hakuna hata Mmoja mwenye Hadhi ya Kuichezea Simba SC yetu kwani hapa hapa Tanzania au Ukanda wetu huu wa Afrika Mashariki au ukienda Afrika Magharibi au Afrika Kusini utaweza kupata Wachezaji wenye Uwezo ' Maradufu ' na walio nao hao. Naijua Simba SC, nimekuwa sehemu ya Kamati za Roho Mbaya na Ujanja Ujanja wa Kimjini Mjini na Kifitina na kwa Kukusaidia tu ni kwamba hao Wachezaji wote wa Kibrazil kuna Watu Wawili ( ambao ni Wajumbe ) na wapo sana karibu na Mmoja wa Kiongozi Mkuu ndiyo wamewaleta kwa Kupiga ' Dili ' ili kama kawaida yao wapate 10% yao. Mmoja wapo ni yule aliyekuwa katika Kesi moja na hawa waliochiwa kwa Dhamana ambaye Kikabila ni Mhehe japo pia ana upande mwingine wa kuwa ni Mjerumani.
Wachezaji wengi wa kimataifa kwenye klabu za Simba na Yanga wanakuja kwa 10 percent, no doubt about that, na wengi wana viwango almost kama vya watanzania.

Lakini huwezi kuniambia eti kwa sababu Fraga amekuja kwa 10 pc basi ni mbovu, not at all. Fraga for me anastabilize sana defense ya ageing central defenders Nyoni na Wawa.
 
Back
Top Bottom