Simba Sports Club imeshika no 6 ya Club bora Africa

Sasa mwenyewe kashakanusha kuwa Hana ushabiki wa Usimba na unyanga wewe unalazimisha nn..? Kama Iko hvyo bac ibaki kuwa perception yako kwani ni lazima kila mtu awe Simba au Yanga...?
Base kwenye point yake aliyoizungumza sio mambo za Utopolo na MAKOLOLOS ww
 
Kolokwinyo uwe na uelewa basi,naona unajibu kwa kupanic!au ndio sababu nafasi ya 6 bora ya kichupli imeshtukiwa!
 
Achana na sisi bana, siwezi shabikia mikia mna masifa sana, tukutane tar 11, kimoko tu kinawatoshaπŸ˜‚
Wewe hupaswi kuwa upande huo wenye maneno mengi tena unaitwa financial services hahaha kuja unyamani tukutuze utabasam upendeze ufurahi uongeze siku za kuishi. Hz stress za utopwinyoo zinakuharibu huo muonekano wako wa kung'ara
 
Imenishangaza pia, kwenye ule Uzi unaohusu Simba kukataa kuvaa nembo ya GSM alikua akiupiga mwingi sana kwa side ya yanga na akisisitiza " mtake mtavaa msitake mtavaa" [emoji28][emoji28]
 
Alichokuwa anakisemea ni ile advantage ya kuanzia raundi ya pili badala ya kuanzia raundi ya awali. Ni kwamba Simba kwa upande wa rank ni ya 16 ila kapata favour ya kuanzia hatua ya pili champions league ni kwasabu kuna timu sita ambazo zipo juu ya Simba, kimsimamo hazikuweza kufuzu kucheza champions league kutokana na kushindwa kushika nafasi ya kwanza au ya pili kwenye ligi zao.View attachment leedrtkrzqgo4jawwrxr(5).pdf
 
Wewe hupaswi kuwa upande huo wenye maneno mengi tena unaitwa financial services hahaha kuja unyamani tukutuze utabasam upendeze ufurahi uongeze siku za kuishi. Hz stress za utopwinyoo zinakuharibu huo muonekano wako wa kung'ara
Why calling us "utopwinyo"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nacheka sanaa ila acha Yanga iniue sijawahi kuipenda Simba.
 
Imenishangaza pia, kwenye ule Uzi unaohusu Simba kukataa kuvaa nembo ya GSM alikua akiupiga mwingi sana kwa side ya yanga na akisisitiza " mtake mtavaa msitake mtavaa" [emoji28][emoji28]
Hahaha, huyu mwamba ni mwanayanga ila anaogopa kuonekana mwanayanga, sasa sijui ndio kutokuiamini timu yake au vipi
 
Hiyo haina shida,ni sawa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ushuzi tu hawa nadhani Babra ndio ameandika huu uchafu
 
umedhihirisha kwamba shule hamna.

Kwahiyo kwako ww ubora unapimwa kwa mechi saba za ligi basi unakuwa umeshaingia kwenye renki za Juu za CAF.

Yaani kuupiga mwingi hizo mechi za ligi CΓ f tayari wameshakutambua . Ndiyo akili zako hizi.

Ku-urgue na watu km nyie ni kupoteza muda. Hata huwezi kujiuliza kwanini Simba anawekwa ktk renki hizo? Unadhani basi ukimfunga geita,mbeya kwanza basi wewe Ni bora Afrika. Yaani unaamka tu asubuhi unajikuta wewe Ni klabu Kimi bora Afrika.

Kwa mtazamo wako huu itoshe kusema km ulienda shule basi ulienda kusomea ujinga. Na usipoangalia huu ujinga ukipevuka utakuwa mpumbavu.
 
Nilimuelewa vzr mkuu, tatizo aliandika km vile kuilaumu Simba. Haikustahili. Kwamba km siyo hizo timu kushindwa ktk ligi zao Simba asingeingia. Sasa unajiuliza Simba ndiyo alifanya zishindwe?

Hivyo Simba Ni bora ndiyo maana alipata hiyo nafasi ambayo miamba mingine ilishindwa. Mti anasahau kwamba huu ni ushindani.Unapodondoka mwenzako anatake advantage.

KILA mtue apewe heshima yake kwa ubora wake na hatua aliyofikia,siyo kubeza bila hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…