Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Sasa mwenyewe kashakanusha kuwa Hana ushabiki wa Usimba na unyanga wewe unalazimisha nn..? Kama Iko hvyo bac ibaki kuwa perception yako kwani ni lazima kila mtu awe Simba au Yanga...?Mkuu huwa naona comments zako nyingi unasema hauna ushabiki wa Simba na Yanga,
Lakini kwa kukufatilia kwangu wewe ni mwanayanga mzuri tu, sasa sijui huwa unatanguliza kauli za hauna ushabiki wa usimba na uyanga ili upate nini, si useme tu wewe ni Yanga, kwani kuna atakayekuua??
Base kwenye point yake aliyoizungumza sio mambo za Utopolo na MAKOLOLOS ww