Leo ni Mnyama na Azam FC simba itawakosa wachezaji wake mahili Sunzu na Okwi...
sunzu alifungiwa mechi tatu baada ya kumpiga kofi mchezaji wa oljoro...okwi yuko na timu ya taifa lake...kipindi cha kwanza kimeisha bado timu hazijafungana...Kadi ya Sunzu haijaisha? Mbona hakucheza mechi mbili? Na Okwi imekuwaje tena?<br />
Walioko uwanjani tunaomba updates.
sunzu alifungiwa mechi tatu baada ya kumpiga kofi mchezaji wa oljoro...okwi yuko na timu ya taifa lake...kipindi cha kwanza kimeisha bado timu hazijafungana...
dkk ya 41, simba 0 na Azam 0..Ukweli ni upi sasa?? Siyo kawaida ya wanamsimbazi; leteni taarifa kamili jamani!