Mpira umekwisha. Simba 1 Mtibwa 0.
Taifa kubwa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hawana chao kabisa...kandambili bundi kaamkia kwake msimu huu
kumbe rejao mtu wetu aisee..hawana chao kabisa...
Tuliwazidi mbinu za kimchezo,kwani haukuona???.Mtizamo wako wewe ukoje,ni kwa nini tuliwafunga??
simba sasa inamajeruhi wa nne..mwinyi kazimoto,salum machaku, Felex Sunzu, na Amir Mafta