Half time: Mtibwa 0-1 Simba.Progress?
Wana simba tupo wengi sana humu nyie ngojeni tu!![/QU mmm
It is very costful.........Ni makosa ya mabeki wa Simba Kelvin Yondani na mwenzake.....
Mkuu leo tumekamatwa aisee, tukishinda nitafurahi sana.Simba wanashambulia......
Simba lazima mshinde leo.....
Ni lazima mshinde leo mkuu maana Azam anaongoza goli moja mpaka sasa....Mkuu leo tumekamatwa aisee, tukishinda nitafurahi sana.