Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kwa ajili ya Kumbu kumbu, kikosi cha Simba kilichoanza ni; Juma Kaseja Juma, Derick Walulya, Shomari Kapombe, Kelvin Patrick Yondani, Juma Nyoso, Jonas Gelard Mkude, Machaku Salum Machaku, Patrick Mutesa Mafisango, Felix Mumba Sunzu, Haruna Moshi Shaban na Emmanuel Okwi.
 
wa rubisi, tukinywa ile kitu huwa hatuguni aisee

ngoja nirudi kule kewnye povu la siasa
 
Penalti....

Mafisango anakosa.......Refa anasema irudiwe.................Lol
 
Mkuu leo tumekamatwa aisee, tukishinda nitafurahi sana.
Ni lazima mshinde leo mkuu maana Azam anaongoza goli moja mpaka sasa....

Na mtakuwa game moja zaidi ya Yanga....

Naona Mtibwa wanawashambulia sasa....

Halafu nimegundua kitu kimoja.....Bado hamna wapiga penati wazuri.......
 
Mtibwa siku zote wenu hawa...Hata wabane vipi ni lazima wataachia tu....
 
Back
Top Bottom