bado bila bila wajameni?tusipowaliza hapa kwetu huko kwao itakuwa game la nguvu nguvu
 
Nimeingia nimechelewa nikalazimika kukaa upande wa Yanga, napata tabu siwezi hata kushangilia, halafu majamaa niliyokaa nayo karibu yanashabikia waarabu yananiudhi kweli basi tu niko peke yangu najua nikijifanya mjanja yatanidunda, nabakia kucheki soka tu bila kushangilia.
 
Naona viti viko wazi vya ''rangi ya chungwa'' kama vipi hama ili ui-enjoy kabumbu kiongozi.
 
Ngapi ngapi wakuu, nipo safarini sipati matangazo!
 
Tusiposhinda gemu ya leo itabidi tuanze kujipanga na nxt year
 
ahahahahaha......jamaaa aliingia kimya kimya kapewa kadi ya njano...........ni wa Setif
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…