Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Ila SIMBA baada ya kufungwa wamebadilika..timu inacheza sasa!! SIMBA oyeeeeeeeeeeee
 
kwa mchezo huu wanaocheza simba wakukaa wanalinda golini kwao mda wote kipindi cha pili watapigwa hata goli 3 zingine.
 
Tunaombea Mungu simba waweze kusawazisha hili goli
 
Kipindi cha pili kimeanza ESS1:0 Simba agg(1:2)
 
Nyoso amekula nyekundu, hawa warabu wabaya sana kwa fitna!
 
Ilikuwa hivi hivi kwa yanga! Wakamtoa Chuji kwa kadi nyekundu!
 
Back
Top Bottom