Mabingwa wa kombe la ujirani simba sports club, leo imetota kwa mabao 2-0
mbele ya watoza ushuru wa uganda (ura). Ni kilio kingine kwa mashabiki wa
simba na yanga..siku zote mwenzio akinyolewa nawe tia maji.:a s 465:

Jamani hapa mkononi nina taa ya chemli na tochi namtafuta safari_ni_safari u wapi ndg yangu?
 
Alhaji Ismail Aden Rage akirudi mtashinda,yule ndio mganga wenu
 
Jamani mtu yeyote aliye karibu na Rage atujuze, au kama Rage mwenyewe anapitia hapa jamvini. Ule uwanja upo wapi mbona siku zinayoyoma kimya? Wale waturuki wamepotelea wapi?
 
We sio vizuri kumwingelea mwenzako anaumwa, yupo hoi india unacheza na kula hela ya rambirambi
 
zile zilikuwa mbwembwe tu.....nisawa na kuuliza ile meli waliohaidiwa watu wa kanda ya ziwa na jk iko wapi......kausha tu mwana......
 
Nmeshawahi kuongea na m1 wa wajumbe wa kamati ya utendaji wa Simba (jina kapuni) nilimuuliza cz ni moja ya jambo ambalo huwa linaniuma sana aisee pale Simba tunapokuwa wengi sana Taifa pale.. Mimi nikiwa mmoja wao huwa najitahidi kutokosa mechi yoyote ya Simba. Alichoniambia ni uwanja utajenga na kubwa ambalo wameshapigania ni kupata kibali na kishapatikana. Na akanipa moja ya ndani zaidi akanitonya kuna benki 3 tayari wameshaingia contract nao kutoa mpunga kwa ajili ya uwanja. So am expectin IN THE NEXT 3 YRS Simba ARENA inakuwa ktk ujenzi. Binafsi ntafurahi sana n inshallah naamini ntakuwa na Seat yangu pale bunju Simba Arena

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mi nilisema na nitaendelea kusema,kula vijisenti vya wafiwa wale hohehahe kutawaathiri sana Simba,si kwa matokeo ya kiwanjani tu hata afya za wabunyaji wakuu...haya kumbe Mheshimiwa yuko India taabani,sisi tunamuombea apone haraka aje a'sign cheque ya kuwalipa Wajane na Wafiwa wale kabla Kaburu na Kamwaga hawajapata vitanda na wao kule India.
Kula rambirambi za watu ni kosa kubwa sana.
 
Wameshindwa kupaka rangi majengo yao wataweza vp kujenga uwanja?
 

UHARO!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Watu kama nyie ndo mnatakiwa kuwa mnakuja mara kwa mara kwenye jukwaa la michezo, umejitahidi, analysis yako ni nzuri ingawa kuna watu watakupinga.

Uchambuzi wako umenigusa sana kwani hata mimi nimeweza kubaini hayo ktk timu hizi mbili nadhani mashindano hayo yatasaidia kupata vikosi vya kwanza Ligi kuu ya vodacom..Unaionaje Azam FC.
 
Rage huyu tunayemjua ndiye atawajengea uwanja Simba? Ngoja tusubiri
 
Uchambuzi wako umenigusa sana kwani hata mimi nimeweza kubaini hayo ktk timu hizi mbili nadhani mashindano hayo yatasaidia kupata vikosi vya kwanza Ligi kuu ya vodacom..Unaionaje Azam FC.

Sio uchambuzi wangu huo mkuu ni wa Baba Kiki, mpe sifa zake yeye mwenyewe.
 
Simba timu funga hao ports goal nyingi iwezekanavyo
 
Hivi tatizo ni nini haswa ? Upangaji wa timu, uwezo au ni upepo tu utapita !! Kuna wadau wamegusia kuwa kutokuchezeshwa kwa mawingi ni tatizo ?
 
Nadhani umefika wakati Simba kuvunja mkataba na Felix Sunzu wamlipe asepe. Haiwezekani strika alipwe dola 3500 kwa mwezi akose magoli vile hata Musa Mgosi waliyemtupia virago akosi magoli vile.. Watafute targetman mwingine mwenye njaa na nyavu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…