Andrew nerei
Member
- Jun 29, 2012
- 55
- 1
Simba kapakatwa.
mama yangu nan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba kapakatwa.
Mabingwa wa kombe la ujirani simba sports club, leo imetota kwa mabao 2-0
mbele ya watoza ushuru wa uganda (ura). Ni kilio kingine kwa mashabiki wa
simba na yanga..siku zote mwenzio akinyolewa nawe tia maji.:a s 465:
Mi nilisema na nitaendelea kusema,kula vijisenti vya wafiwa wale hohehahe kutawaathiri sana Simba,si kwa matokeo ya kiwanjani tu hata afya za wabunyaji wakuu...haya kumbe Mheshimiwa yuko India taabani,sisi tunamuombea apone haraka aje a'sign cheque ya kuwalipa Wajane na Wafiwa wale kabla Kaburu na Kamwaga hawajapata vitanda na wao kule India.
Kula rambirambi za watu ni kosa kubwa sana.
Watu kama nyie ndo mnatakiwa kuwa mnakuja mara kwa mara kwenye jukwaa la michezo, umejitahidi, analysis yako ni nzuri ingawa kuna watu watakupinga.
Uchambuzi wako umenigusa sana kwani hata mimi nimeweza kubaini hayo ktk timu hizi mbili nadhani mashindano hayo yatasaidia kupata vikosi vya kwanza Ligi kuu ya vodacom..Unaionaje Azam FC.