Duh, kama kukosa magoli game moja/mbili basi adhabu ndiyo hizi basi akina Torres, carroll, Suarez au yule Manywele sura mbaya wa arsenal (from Ivory Coast) wangeshakatwa vichwa !!

Huwezi kumfananisha huyu na wale mabondia Mwape na Asamoah !
 
Hahahaaaa! et nini? uwanja? kila atakayegombea uongozi simba atatumia ahadi hiyohiyo mpaka simba mtakapogundua mliingizwav mjini.
 
Jamani mtu yeyote aliye karibu na Rage atujuze, au kama Rage mwenyewe anapitia hapa jamvini. Ule uwanja upo wapi mbona siku zinayoyoma kimya? Wale waturuki wamepotelea wapi?
Utakuwa wa kukunja na kukunjua, tayari tushaanza kuujenga kwenye jengo letu pale Msimbazi, ukishakamilika tunaubeba kuupeleka Bunju kwa hiyo mnaokuwa mnauli uliza tulizeni mizuka, uwanja uko hatua za awali tunajengea ndani mtauona tu ukishakamilika.
 
Simba hongera kwa kudraw .tunaomba mzidishe makali
 

Nakubaliana na wewe, leo wote tumeona alivyoikosesha simba ushindi
 
sunzu hasara sasa,ni hayo maheleni anayovaa masikioni ndo yanamchanganya kwa kuzani tunamsifia
 
basi akina Torres, carroll, Suarez au yule Manywele sura mbaya wa arsenal (from Ivory Coast) wangeshakatwa vichwa !!

Huwezi kumfananisha huyu na wale mabondia Mwape na Asamoah ![/QUOTE]

Sunzu bado ananafasi ya kuonesha soka na kuvamia nyavu. Tuzidi kusubir kwani najua mkwaju wa penalt aliokosa jana umeamsha maneno kwetu mashabiki
 
Duh, kama kukosa magoli game moja/mbili basi adhabu ndiyo hizi basi akina Torres, carroll, Suarez au yule Manywele sura mbaya wa arsenal (from Ivory Coast) wangeshakatwa vichwa !!

Huwezi kumfananisha huyu na wale mabondia Mwape na Asamoah !
Acha uzushi.
 
Wazee Simba imefungwa angalieni kitakacho tokea. Mara uongozi mbaya mara uchawi
 
Hakuna ku-fall apart, Azam wamepiga mpira mkubwa, thats all.
Hata wao (simba) wame appreciate kabumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…