viongozi wa simba acheni kumuingilia kocha,kama mtaendelea na tabia hii mtafungwa mechi zote.ni dhahili kile kikosi hakikupangwa na kocha bali ni idea ya mtu au watu.sikuona sababu ya kumchezesha sunzu wakati mechi zote 4 za kagame kacheza pumba ona sasa kaicost timu leo.
Usajiri wenu sijui kama ulidhamilia kureplace nafasi ya mafisango(rip),yondani na okwi? Au mmesajiri ili mladi mchezaji? Nawashauri muipangue timu yote 2tengeneze simba mpya yenye malengo inayowapa raha mashabiki sio kuharibiana siku kama leo.GLORY GLORY SIMBA S C