kipindi cha kwanza ndiyo kinamalizika simba 1 na JKT OLJORO 0, GOLI LA SIMBA LIMEFUNGWA NA DANIEL AKUFFO..KIKOSI CHA SIMBA mweta, shamte, ngalema, nyosso,pascol, kazimoto, kigi,redondo,daniel akuffo, ngassa,kiemba..
 
Huyu Akuffo inaonekana ataziba vizuri pengo lilioachwa kwenye safu ya ushambuliaji.
 
Mpira umekwisha Simba 2 na JKT Oljoro 1...Goli la pili la Simba limefungwa na Mrisho Ngasa.
 
vipi hali ya mchezo kwa ujumla, ebu tupe "nyama" zaidi plz

kipindi cha kwanza ndiyo kinamalizika simba 1 na JKT OLJORO 0, GOLI LA SIMBA LIMEFUNGWA NA DANIEL AKUFFO..KIKOSI CHA SIMBA mweta, shamte, ngalema, nyosso,pascol, kazimoto, kigi,redondo,daniel akuffo, ngassa,kiemba..
 
vipi hali ya mchezo kwa ujumla, ebu tupe "nyama" zaidi plz
Mechi ilikuwa nzuri sana kila timu ilicheza kwa malengo na ufundi mwingi kwa upande wa Simba mchezaji Halifan Ngassa ameisumbua sana Ngome ya JKT Oljoro na kufanya mashabiki wamshangilie sana kila alipokuwa na upata mpira...JKT Oljoro ni timu inayocheza kitimu zaidi kiasi kwamba ukiambiwa huwezi kuona mchezaji mzuri zaidi kiurahisi, goli la JKT lilipatikana dakika ya 90 kwa njia ya penati baadaya beki wa Simba Pascol kumchezea vibaya mshambuliaji wa JKT ndani ya 18 hivyo refa kuamru ipigwe penati huku mashabiki wakimzoema refa kuwa mchezaji huyo hakuguswa bali alimdanganya mwamzi...Goli ambalo naweza kusema la mwaka ni golila pili la Siba lilifungwa kwa ustadi wa hali ya juu sana baada ya kuunganisha kwa tikitaka cross iliyopigwa na Redondo na kuwafanya watu wasiamini kama ni goli wengi walidhani imegonga nyavu ndogo...
 
Leo Simba inacheza na Nairobi City kwenye uwanja wa sheikh Amri Abeid (Arusha) nitawaletea ndondoa za mechi hii...
 
kipindi cha kwanza kimemalizika nairobi city stars 1 na simba 0..goli la wageli ni la kujifunga kwa beki wa simba Keitta alipokuwa anamrudishia kipa wa simba..
 
kipindi cha pili ndiyo kinaanza..ametoka Abdallah Juma ameingia edward pia ametoka Chollo ameingia kapombe..
 
Amri mafta anatoka anaingia paulo Ngarema pia anatoka salum kinje anaingia Redondo...Akuffo anaipatia simba goli la kwanza..
 
Kiemba, uhuru na Nyoso wanaingia badala ya Keita, akufo,Boban..
 
Uhuru anaonyeshwa kadi nyekundu...kwa wakazi wa dar ambao hawajaiona simba kwa siku za karibuni kuna majembe ya ukweli mawili kama siyo matatu Akufo, Keitta, Ocheing hawajamaa ni noma waache yanga waje..
 
nilichogundua kocha wa simba hatafuti ushindi ametoa timu yote ana kuingiza wapya..ametoka Pascol na Ngassa wameingia Kigi makasi na haruna shamte..
 
huyu jamaa anaonekana hatari sana eeh,mechi tatu magoli matatu...??

jamaa akiingia kwenye 18 mara mbili lazima watu waende kati sasa sipati picha timu ikikamiliaka yaani Ngassa, Boban, Sunzu, Akuffo, Okwi....hahahahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…