Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kipindi cha kwanza ndiyo kinamalizika simba 1 na JKT OLJORO 0, GOLI LA SIMBA LIMEFUNGWA NA DANIEL AKUFFO..KIKOSI CHA SIMBA mweta, shamte, ngalema, nyosso,pascol, kazimoto, kigi,redondo,daniel akuffo, ngassa,kiemba..
Ni mzuri sana atatusaidia sana...Huyu Akuffo inaonekana ataziba vizuri pengo lilioachwa kwenye safu ya ushambuliaji.
kipindi cha kwanza ndiyo kinamalizika simba 1 na JKT OLJORO 0, GOLI LA SIMBA LIMEFUNGWA NA DANIEL AKUFFO..KIKOSI CHA SIMBA mweta, shamte, ngalema, nyosso,pascol, kazimoto, kigi,redondo,daniel akuffo, ngassa,kiemba..
Mechi ilikuwa nzuri sana kila timu ilicheza kwa malengo na ufundi mwingi kwa upande wa Simba mchezaji Halifan Ngassa ameisumbua sana Ngome ya JKT Oljoro na kufanya mashabiki wamshangilie sana kila alipokuwa na upata mpira...JKT Oljoro ni timu inayocheza kitimu zaidi kiasi kwamba ukiambiwa huwezi kuona mchezaji mzuri zaidi kiurahisi, goli la JKT lilipatikana dakika ya 90 kwa njia ya penati baadaya beki wa Simba Pascol kumchezea vibaya mshambuliaji wa JKT ndani ya 18 hivyo refa kuamru ipigwe penati huku mashabiki wakimzoema refa kuwa mchezaji huyo hakuguswa bali alimdanganya mwamzi...Goli ambalo naweza kusema la mwaka ni golila pili la Siba lilifungwa kwa ustadi wa hali ya juu sana baada ya kuunganisha kwa tikitaka cross iliyopigwa na Redondo na kuwafanya watu wasiamini kama ni goli wengi walidhani imegonga nyavu ndogo...vipi hali ya mchezo kwa ujumla, ebu tupe "nyama" zaidi plz
Amri mafta anatoka anaingia paulo Ngarema pia anatoka salum kinje anaingia Redondo...Akuffo anaipatia simba goli la kwanza..
huyu jamaa anaonekana hatari sana eeh,mechi tatu magoli matatu...??