Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
- Thread starter
-
- #3,141
Simba Daaaaamu ya Kweli ni Nyekundu ukiona Njano ujue Usahaa Uchafu huo wa Njano haufai Sie Damu Safi hapa Nyekundu.
simba wanamiliki mpira katikati hapa tunawaonyesha hawa kandambili what is football
twite kadi ya njano.. Akwende zake
huyo jamaa hamna kitu kaka,yanga waliuziwa usiku na kijinga cha moto so hawakumuona vizuri.
halafuuuuuu...Simba....NYinyi waBayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........
Bala Is Always Here............Hawa Kandambili wanataka kupigwa 5 bila tena. Wapi Balantanda
Baada ya kusawazisha..Bala Is Always Here............
Angalia nimepost saa ngapi na goli limesawazishwa saa ngapi.......Baada ya kusawazisha..
Kilichobaki watizame Table.
Angalia nimepost saa ngapi na goli limesawazishwa saa ngapi.......
Sina kawaida ya kukimbia jukwaa mimi......Timu yangu, ishinde, itoke sare ama ifungwe.........Bala Is Always Here............
Bala Is Always Here............
dogo edo sio kumkimbizaMm nliwaona siku ile pale eapoti wamejazana na kushangilia kumbe wamelamba garasa hahahha na bado lazima watulipe kwa kuiba garasa then tano zinawangoja on the spot hahahhaha