Simba Leo walikua na match leo vp mbona sioni update
 
Kwa huu umati ninaouona ktk tv wakiwa uwanjani simba day alafu jana watu wanalalamika hawakupata jezi kutokana na mpango mbovu wa uuzaji na usambazaji, ni wazi simba wamepoteza kwa jana na leo pesa nyingi sana. Wangeziuza hata kwa 15000 kiwanjani, watu wangenunua wanaonekana wamehamasika sana.
Mikakati mibovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…