Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 998
- 987
Labda hana sifaJamani naombeni kujulishwa Kwa nini Mwenyekiti Wetu kagoma kuchukua form ya kugombea
Amechoka simba anataka kwenda yangaJamani naombeni kujulishwa Kwa nini Mwenyekiti Wetu kagoma kuchukua form ya kugombea
Msifungike! Kwa hiyo unataka sare. Mmekwisha eden.Tujenge team ngumu kufungika kwanza na naona kwa mfumo wa mwalimu anajenga ngome ngumu kwanza
Tuwaze kimataifa sio kitaifa
Kimataifa unatakiwa uwe na beki ngumu kupitika kwanza na yote inategemea mfumo mwalimu anaotumia
E&K
Kwenye EPL tupo pamoja. Huku baki pekeyako mkia. Haaaahaaaa.Tupo Tulikuwa Kwenye Runinga Kwanza Kumuangalia Mnyama Mkali zaidi Mwituni!
Simba SC kamla Mtu 2 Kwa 0
Tunazidi Kuwapa tabu Mabakuli FC
Nani kafa?Leo lazima ndanda afe kifo cha mende huko ntwara