Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Jamani naombeni kujulishwa Kwa nini Mwenyekiti Wetu kagoma kuchukua form ya kugombea
 
NDANDA KUCHELE
IMG_20180915_181846.jpg
 
samahanini wakuu naombeni link ya kujiunga na group la mashabiki wasimba na yanga WhatsApp.
 
Tujenge team ngumu kufungika kwanza na naona kwa mfumo wa mwalimu anajenga ngome ngumu kwanza
Tuwaze kimataifa sio kitaifa
Kimataifa unatakiwa uwe na beki ngumu kupitika kwanza na yote inategemea mfumo mwalimu anaotumia

E&K
Msifungike! Kwa hiyo unataka sare. Mmekwisha eden.
 
Tupo Tulikuwa Kwenye Runinga Kwanza Kumuangalia Mnyama Mkali zaidi Mwituni!

Simba SC kamla Mtu 2 Kwa 0

Tunazidi Kuwapa tabu Mabakuli FC
Kwenye EPL tupo pamoja. Huku baki pekeyako mkia. Haaaahaaaa.
 
Masudi Jumaaaaaa!!!!!! Eti wanasafiri na kocha mkuu, msaidizi wanamuacha Dar. Haya tumepata stahili yetu.
 
Hii timu ina nipa mashaka sn hata ushirika wetu kwny kavu bingwa afrika sijui tutafika wapi
 
Back
Top Bottom