Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
- Thread starter
-
- #381
jAMANI LEO MNYAMA VIPI ? NASIKIA YUKO UWANJANI, MWENYE UPDATED NEWS atujuze..
kuna mtu amenijuza sasa hivi kuwa Game ni kesho, vyombo vya habari vilikosea asubuhi, sasa bado sijathibitisha.Mkuu tuombe Mungu inshallah atatuwezesha kuondoka na Ushindi, Wenye updates mtupe jamani hata kama matokeo si Mazuri
kuna mtu amenijuza sasa hivi kuwa Game ni kesho, vyombo vya habari vilikosea asubuhi, sasa bado sijathibitisha.
Wadau, mbona nimesoma mahali mechi ni kesho??Nadhani leo mechi yetu na JKT Ruvu ni muhimu mno katika kujihakikishia ubingwa. Kila la heri wachezaji wetu katika kutuwakilisha dimbani.
Wadau, mbona nimesoma mahali mechi ni kesho??
Simba 1-0 JKT