Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Hatimaye nimefikisha post 1000 ..nazidedicate kwa chama letu.VIVA CHAMA JEKUNDU.
 
Wadau karibuni BAMBA BEACH tunapasha kabla ya kukutana na JKT Ruvu jmosi.
TUKO PAMOJA.
SIMBA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!1
 
Nadhani leo mechi yetu na JKT Ruvu ni muhimu mno katika kujihakikishia ubingwa. Kila la heri wachezaji wetu katika kutuwakilisha dimbani.
 
jAMANI LEO MNYAMA VIPI ? NASIKIA YUKO UWANJANI, MWENYE UPDATED NEWS atujuze..
 
jAMANI LEO MNYAMA VIPI ? NASIKIA YUKO UWANJANI, MWENYE UPDATED NEWS atujuze..

Mkuu tuombe Mungu inshallah atatuwezesha kuondoka na Ushindi, Wenye updates mtupe jamani hata kama matokeo si Mazuri
 
Mkuu tuombe Mungu inshallah atatuwezesha kuondoka na Ushindi, Wenye updates mtupe jamani hata kama matokeo si Mazuri
kuna mtu amenijuza sasa hivi kuwa Game ni kesho, vyombo vya habari vilikosea asubuhi, sasa bado sijathibitisha.
 
kuna mtu amenijuza sasa hivi kuwa Game ni kesho, vyombo vya habari vilikosea asubuhi, sasa bado sijathibitisha.

Asante kwa Taarifa Mkuu maana Wachezaji wengi walikuwa na timu ya Taifa Mwanza
 
Nina uhakika simba atashinda hata kama wal;itumia mbinu chafu siku na a. lyon
 
Nadhani leo mechi yetu na JKT Ruvu ni muhimu mno katika kujihakikishia ubingwa. Kila la heri wachezaji wetu katika kutuwakilisha dimbani.
Wadau, mbona nimesoma mahali mechi ni kesho??
 
Wadau tusisahau kuweka ubani tushinde kwa kishindo mechi yetu na JKT.Mungu ibariki Simba
 
Wakuu leo chama letu linaendeleza kichapo naomba tupeane updates.Kila la kheri msimbazi
 
Simba 1-1 JKT , JKT wamepata goli baada ya mabeki wa Simba kumuchia mchezaji wa JKT wakizani yuko offside hivyo kupelekea kipa wa Simba kupigwa chenga na mchezaji wa JKT naye kipa wa Simba akamshika mguu,hivyo kupelekea kupewa kadi ya njano na JKT kupewa penalt ...Sasa ni mapumziko
 
half Time now 1-1 jamaa walichomoa mfungaji wa lunyasi ni banka
 
Back
Top Bottom