Dakika 57 bado ngoma imesimama one all but i do hope tutashinda tu!
 
lazima tushinde tuu wametaka hawakutaka simba ndio hiyo kwa lolote hata fedha tumetumia milioni 80 kwa michezo miwili huu na wa Azam
 
Mussa hassan Mgosi anakosa penalt dah mbona balaaaa hapa
 
Mkuu hapa kuna hatari ya kutoka suluhu ,kwa mchezo huu sio rahisi inabidi wachezaji wakaze msuli.

Mbaya sana Mkuu, walilsea sana kuwaachia African Lyon, pale waliweka Rehani Ubingwa
 
Mkuu hapa kuna hatari ya kutoka suluhu ,kwa mchezo huu sio rahisi inabidi wachezaji wakaze msuli.
Acha hofu kama mbwai na iwe mbwai lazima tushinde tuu,kwani hizi point 3 ni muhimu mno kuliko kucheza na wana kandambili
 
Jamani mbona inatia shaka hapa hizi ni dalili za suluhu?
 
Mussa hassan Mgosi anakosa penalt dah mbona balaaaa hapa

Acha hofu kama mbwai na iwe mbwai lazima tushinde tuu,kwani hizi point 3 ni muhimu mno kuliko kucheza na wana kandambili

Kweli kabisa mechi ya leo ni MUHIMU SANAAAAA hawa JKT sijui wamepewa pesa na wadau wa Yanga ili wakazeeee
 
Jamani tupeni matokeo manake presha inapanda yaani tukitoa draw leo manake ni sawa na tumepoteza mechi 2 katika hii ligi yaani tunakuwa tumepoteza point sita katika michezo mitatu
 
Kisicho Rizki Hakiliki, out of 9 tutahitaji 4 points na Game zilizobaki zote Ngumu. LoL!
 
Matokeo vipi? Hivi tumebakiza na nani tena? out of yebo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…