Daa jamaa hamkaamini kweli katimu kenu na vichezaji vyenu mana mlivyokuwa kimya muda Wa mechi utadhani mmejificha chini ya uvungu Wa kitanda ili majambazi yasiwaone
 
Daa jamaa hamkaamini kweli katimu kenu na vichezaji vyenu mana mlivyokuwa kimya muda Wa mechi utadhani mmejificha chini ya uvungu Wa kitanda ili majambazi yasiwaone
Nyie mnao iamini timu yenu naona mechi za kagera na azam hamkua kimya...mlikuwa mnashangilia mwanzo mwisho
 
Nyie mnao iamini timu yenu naona mechi za kagera na azam hamkua kimya...mlikuwa mnashangilia mwanzo mwisho

Mechi ya kagera ilikuwa hivi. Mmeambiwa wote Afrika nzima muige mfano wetu sisi. Kamalizia vizuri kwa kusema BE NICE, BE LIKE YANGA. Nanivunia sana kuishabikia hii timu kwa kweli
 
Attachments

  • VID-20200119-WA0050.mp4
    1.1 MB
Upo sahihi kabisa kiongozi wangu
 
Kama alivyosema kocha Patrick
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…